Pinned Tweet
Ni zamu ya wanufaika wa Youth Economic Empowerment Dodoma kupata mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal.Watajifunza jinsi mfumo unavyofanya kazi na faida zake, ikiwa ni hatua ya kuelekea dirisha la Mikopo ya 10% kutoka halmashauri
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Honoured to have participated in #DarGeopolitics2026,an East African Peace and Security Conference, held on 19–20 November. Discussions explored regional security, geopolitics and youth inclusion in shaping East Africa's future. #PeaceAndSecurity #YouthLeadership #mulika255
1
43
Kupitia mafunzo ya Mulika Tanzania, wasichana waliojifungua katika umri mdogo wamepata uelewa mpya kuhusu fursa za kiuchumi. vikundi vyao, tayari wamekamilisha usajili na sasa wanaendelea na maandalizi ya kuomba mikopo ya 10% na Halmashauri.
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
36
“If real development is to take place,
the people have to be involved.”
— Mwalimu Julius K. Nyerere
As we commemorate Mwalimu Nyerere Day, we honour his enduring wisdom and the values of unity, freedom and responsibility that continue to shape Tanzania.
#NyerereDay #Mulika255
2
67
Vijana walichambua ahadikwenye nyaraka mbalimbali kama Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050, sera, mikakati na nyingine za kitaifa, kikanda na kimataifa. Walishirikishana walichobaini kuhusu ahadi hizo, maeneo husika na hatua za utekelezaji wake.
#YouthAccountability | #Mulika255
Vijana waliendelea na majadiliano ya kutambua ahadi zinazowalenga vijana katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Majadiliano yaligusa maeneo mbalimbali yanayowalenga, huku wakitazama ahadi zilizowahi kutolewa na hali ya utekelezaji wake.
#YouthAccountability | #Mulika255
“Mifumo kama YES inawezesha vijana na taasisi mbalimbali kushirikiana. Tunahitaji kuifahamu na kuitumia vizuri kwa maendeleo ya vijana.” — Masalida Njashi, Afisa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam
#youthaccountability | #mulika255
Picha pamoja ya washiriki pamoja na viongozi wa Mulika Tanzania, ya Youth Commitments and Accountability Forum, wakiwa pamoja katika hatua ya mwanzo ya kuunganisha ahadi zinazowahusu vijana, uwajibikaji na hatua kwa ajili ya maendeleo ya vijana.#YouthAccountability | #Mulika255
Picha za washiriki wakiwa katika makundi kuchambua na kutambua ahadi zinazowahusu vijana kutoka katika nyaraka mbalimbali, kama sehemu ya kujenga uelewa wa pamoja na msingi wa ufuatiliaji na uwajibikaji.
#YouthCommitments | #YouthAccountability | #Mulika255
“Tunapofuatilia ahadi, tunahitaji kuangalia ushahidi unaoonyesha kilichofanyika, kilichofikiwa na maeneo ambayo bado yanahitaji ufuatiliaji zaidi.” — Amanzi Mpingo, Mtaalamu wa Masuala ya Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza (MEL)
#youthaccountability | #mulika255
“Kabla hatujauliza kama ahadi imetekelezwa, tunahitaji kwanza kujua ahadi yenyewe, imetoka wapi, inalenga nini na nani anawajibika. Huo ndio msingi wa accountability yenye ushahidi.” — Suleiman Makwita, Governance and Accountability Expert
#YouthAccountability #Mulika255
“Katika advocacy, tusianzie kwenye tunachotaka kusema; tuanze kwa kuelewa jamii inahitaji nini, ushahidi unasema nini na ni mabadiliko gani tunayataka kuyaona.” — Catherine Fidelis, Programme Manager, Jane Goodall Institute
#EvidenceBasedAdvocacy #YouthAdvocacy #Mulika255
Mulika Tanzania inaendesha warsha hii kwa lengo la kutambua ahadi zinazohusu vijana.
“Tunataka msingi wa pamoja wa kuimarisha uwajibikaji katika utekelezaji wa ahadi zinazohusu vijana.” Hussein Melele, Mkurugenzi Mtendaji, Mulika Tanzania
#youthaccountability | #mulika255
Warsha ya Youth Commitments and Accountability imezinduliwa rasmi leo, ikiwakutanisha vijana na wadau mbalimbali kujadili na kuweka pamoja ahadi zinazowahusu vijana katika ngazi tofauti. Winfrida Mponzi, Program Lead, Mulika Tanzania
#YouthAccountability #Mulika255
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Uwezeshaji Kiuchumi kwa Vijana (YEE) kwa wasichana waliopata watoto kwenye umri mdogo mkoani Dodoma, ambao ni wanufaika wa Mradi wa Youth Economic Empowerment, waliweza kujipatia zawadi kutoka Mulika Tanzania.
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
Ukiwa mjasiriamali wa kubidhaa ndogo ndogo, SIDO inakupa fursa ya kupata elimu na ujuzi wa namna ya kuongeza thamani ya bidhaa yako, na hivyo kupanua wigo wa biashara yako.
—Justine Kahamela, Afisa SIDO
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Fursa za mikopo kwa vijana zipo, Fursa mojawapo ni mikopo inayotolewa na Wizara ya Vijana ambayo inalenga kuwawezesha vijana kutekeleza mawazo na ndoto zao za kiuchumi.
— Musa Malando, Afisa Vijana, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mikopo ya Halmashauri haina riba, na si lazima kurejesha kiasi chote kwa mara moja; mnaweza kuanza kurejesha kidogo kidogo kulingana na uwezo wa biashara yenu.
— Msiwanda Reheni, Afisa Mikopo, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Lengo la Mpango wa Uwezeshaji Kiuchumi kwa Vijana ni kuwasaidia vijana kutambua fursa zilizopo katika maeneo yao na kuwapa uelewa wa namna gani mnaweza kuzitumia fursa hizo ili muweze kujengea kipato.
— Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Picha ya pamoja ya Maafisa, wasichana wenye watoto katika umri mdogo, pamoja na Viongozi wa Mulika Tanzania, Baada ya Youth Economic Empowerment Workshop kumalizika kata ya Mkwajuni, Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
















































