MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar) header
MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar) profile picture

Media & Communications Professional | Journalism | Video Production @wibastarpic | Social Media | Storytelling for Social Change #Picha4Life

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2019
Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)Photo by MWANDISHI 🆇 ® (@wibastar)
ASANTENII SANAAAA @mulika255
1
3
74
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
We wish all Tanzanians a joyful and meaningful Nane Nane Day. Today, we celebrate farmers, entrepreneurs, innovators, and everyone contributing to the growth and transformation of Tanzania’s agricultural sector. #NaneNaneDay | #mulika25
1
3
329
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Today commemorates an important milestone in our nation’s journey of growth, innovation, and opportunity. As we celebrate this historic day, may it continue to inspire entrepreneurship, resilience, and the pursuit of sustainable development for all. #sabasaba2026 | #mulika255
1
5
478
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
"Ili kikundi kiweze kusajiliwa, kunahitajika kuwa na malengo yanayoeleweka, viongozi waaminifu, katiba ya kikundi pamoja na nyaraka muhimu ikiwemo Namba za NIDA kwa wanakikundi.” —- Florentina Welya Mratibu wa Mikopo Wilaya ya Momba #YouthEmpowernmentTz | #mulika255
1
2
67
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
“Wengi wanaamini lazima uwe na fedha nyingi ndipo uanze biashara, hata mtaji mdogo unaweza kuanza ikiwa una nidhamu na uvumilivu. Muhimu ni kuwa na dira ya unachotaka kufikia na kutokukata tamaa.” — Ray Elimuu Afisa Biashara Wilaya ya Momba #YouthEmpowernmentTz | #mulika255
1
3
64
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Kupitia mradi huu, mtajengewa uelewa wa kutambua fursa zilizopo katika kata zenu zilizoko katika wilaya ya Momba na namna ya kuzitumia ili kujijengea kipato na kuleta maendeleo katika jamii zenu.” — Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi #YouthEmpowernmentTz | #mulika255
1
3
36
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Happy Birthday to Wilbgeorge Bahati, our Communication & Advocacy Lead Your creativity and dedication continue to inspire change and amplify youth voices. Wishing you happiness, good health, and continued success. From all of us at Mulika Tanzania 🌸 #Happybirthday | #mulika255
2
2
4
49
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Wiki hii YEE Portal inatua Songwe! 📍 Wanufaika kutoka Wilaya za Momba na Songwe watapata mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal na kujifunza faida zake katika kurahisisha upatikanaji wa Mikopo ya 10%. 💻✨ #YouthEmpowermentTz | #Mulika255
1
3
38
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Happy Labour Day! Today, we celebrate the dedication, resilience, and hard work of all workers who continue to drive growth and development in our communities. We remain committed to empowering youth and creating opportunities that support decent work. #labourday | #mulika255
1
3
38
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Happy Union Day from Mulika Tanzania 🇹🇿 As we celebrate the unity of our nation, we reaffirm our commitment to empowering young people and communities to build a more inclusive, resilient, and prosperous Tanzania. Together, we move forward stronger as one. #unionday | #mulika255
1
3
32
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Tulibaini changamoto za ukusanyaji na ufuatiliaji wa taarifa kwa njia za kawaida. Mfumo huu unarahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa wakati na uratibu wa shughuli, huku ukifuatilia maendeleo ya Vikundi — Mkuu idara ya Mawasiliano #YouthEmpowermentTz #mulika255
1
3
58
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Mfumo huu wa YEE PORTAL unarahisisha utaratibu wa usajili wa vikundi na wanufaika kwa njia ya kidijitali. Taarifa zinahifadhiwa sehemu moja, hivyo inakuwa rahisi kuzifikia na kuzisimamia kwa ufanisi zaidi.” — Mkuu wa Idara ya Mawasiliano #YouthEmpowermentTz | #mulika255
1
3
26
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Mpango wa Uwezeshaji Kiuchumi kwa Vijana unaendelea nchini, ukiwemo Dodoma, kupitia usajili wa Vikundi vya Mikopo ya 10%. Kupitia YEE PORTAL, changamoto za usimamizi, ufuatiliaji na uhifadhi wa kumbukumbu zinatatuliwa. — Winfrida Mponzi #YouthEmpowermentTz | #mulika255
1
3
40
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
VIDEO RECAP 🎥 | Uwasilishaji na mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal kwa wanufaika wa mradi Kiwalani, DSM. Washiriki walijifunza namna mfumo unavyorahisisha usajili wa vikundi na usimamizi wake. Mfumo bado uko hatua ya validation. #YouthEmpowermentTz | #mulika255
2
4
54
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Washiriki ambao ni wasichana walioapata watoto wakiwa na umri mdogo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada Mafunzo ya YEE Portal ambapo waliweza jifunza jinsi mfumo unavyofanya kazi. #YouthEmpowermentTz | #mulika255
2
4
41
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Ambapo walipatiwa uelewa kuhusu maendeleo ya Mpango wa Uwezeshaji Kiuchumi kwa Vijana (YEE), namna mfumo unavyofanya kazi, na jinsi unavyolenga kurahisisha upatikanaji na usimamizi wa fursa mbalimbali za kiuchumi kwa vijana. #YouthEmpowermentTz | #mulika255
2
4
28
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal, ambao ni wasichana waliopata watoto katika umri mdogo kutoka kata ya Kiwalani, Dar es Salaam. #YouthEmpowermentTz | #mulika255
1
2
4
51
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
“YEE Portal imeanzishwa ili kuondoa changamoto za usimamizi wa taarifa kwa njia za kawaida, na kuweka mfumo unaowezesha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa wakati kwa ajili ya maamuzi bora.” — Wilbgeorge Bahati, Mkuu wa idara ya Mawasiliano #YouthEmpowermentTz | #mulika255
2
4
41
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
“YEE Portal ni suluhisho la kidijitali linalowezesha usajili na usimamizi wa taarifa za vijana na vikundi kwa ufanisi zaidi, huku ukirahisisha uratibu wa shughuli za programu kwa njia iliyo rahisi na yenye uwazi.” - Mkuu idara ya Mawasiliano #YouthEmpowermentTz | #mulika255
2
4
47
MWANDISHI 🆇 ® retweeted
“Mradi huu wa YEE umefanikiwa kuwafikia vijana 675, kuunda vikundi 50 na kusajili rasmi vikundi 20, hatua inayoonesha ushiriki mkubwa wa vijana na mafanikio ya jitihada za kuwawezesha kiuchumi.” — Winfrida Mponzi Mkuu wa Mradi #YouthEmpowermentTz | #mulika255
2
4
52