Cinephile retweeted
Kuna kitu nilikiona katika hii debate kuhusu utofauti kati ya mimi na @Obure1998 katika kuangalia movies. I think the difference is in our perspectives. Yeye anaangalia movies more like an analyst, probably because of his passion for cinema and his interest in understanding—
Replying to @TravellerVoman @Obure1998
Uko sahihi, influence yake especially kwa wauza dawa ilikua kubwa ndio maana it was more of a hood classic. Hata ilipotoka wazungu waliiponda ilikua violently
Cinephile retweeted
Song: Kwenye chati 🎶
Artist: Balozi Dola Soul
Album : Ubalozini (2002)
Producer : Mikka Mwamba
Productions : F M Records 🎙️ – at Dar es Salaam, Tanzania
We are the world
We are the children
We are the ones who make a brighter day
So, let's start giving
There's a choice we're making
We're saving our own lives
It's true we'll make a better day
Just you and me
Kuondoka nyumbani nikiwa nina miaka 27 pekee yalikuwa ni maamuzi mabaya zaidi kwenye maisha yangu yote, sitanii hata.
Njaa inayonichapa toka nimeondoka nyumbani unaweza kudhani ile nyimbo ya We Are The World niliimbiwa ili pesa zote watakazo-donate wanipe💀
3
52
Kuondoka nyumbani nikiwa nina miaka 27 pekee yalikuwa ni maamuzi mabaya zaidi kwenye maisha yangu yote, sitanii hata.
Njaa inayonichapa toka nimeondoka nyumbani unaweza kudhani ile nyimbo ya We Are The World niliimbiwa ili pesa zote watakazo-donate wanipe💀
Mkuu hivi ndivyo ulivyokuwa una-debate shuleni??
Replying to @Obure1998
Nafahamu ni true story. Unasema kingpins hawakai Miami na unga mbele ya meza zao? You’re kidding me, man, right? 😂😂 That was just a reference to show you what power and ambition can drive men to do, and wakati mwingine wanavyoweza kujisahau baada ya mafanikio.
1
52
Jamaa ni either hajawahi kuona au hata mambo ya mtindo na muundo kidato cha pili hakusoma😂😂 paid in full inafanana na Goodfellas kuliko inavyofanana na Scarface
Replying to @Obure1998
Jamaa kuweka Casino kuwa imekua influenced na Scarface kazingua.. hata paid n full wale characters ni real life characters kwa hiyo ni tofauti kabisa na scarface.. probably anamuuliza chatGPT
1
38
Mkuu mimi nimekueleza namna ipi Goodfellas imeshape industry, ilivyo-redefine genre, storytelling, Editing, Music.
Nimetaja filmmakers ambao waibia mtindo wa GF, Filamu zenye mtindo wa GF
Achana Rap nipe influence ya Scarface ya filamu mkuu
Yo man, you know we’re in Scarface territory here. No need to go too deep. 😂 Ogopa jina la movie lili-inspire one of the most respected storytellers in hip-hop, Brad Jordan, to adopt the name Scarface. That alone tells you something about the film’s cultural influence.
1
41
Scarface ni Fictional , Goodfellas ni Story ya kweli yenye characters wa kweli ambao mpaka leo wengine wapo, point yako in ipi hapa? Kumbe hata hujui kuwa Goodfellas ni story ya kweli? Tunabishana nini
Pia Kingpins hawakai Miami na unga mbele ya meza zao
Yaani hata ukiangalia watu kama El Chapo, Ismael Zambada (El Mayo), El Mencho na wengine, ukifuatilia maisha yao na namna wanavyoendesha drug empires zao, utaona why Tony Montana’s mythology still resonates in today’s world
1
41
Nigga una-act kama hujawahi kusikiliza Bar yoyote kuhusu Goodfellas au Pesci
Juzi tu kwenye Docu-series ya Hov kamuongelea Pesci, unajua yongu Hova ni reference Henry Hill? 50 kajifanisha Paulie, It was written na Illmatic kua reference kibao za GF
Replying to @TravellerVoman
And if you still doubt its influence,na Kwann kuna watu unapaswa kuwaelewa wanaposema Scarface it’s better movie kuliko Goodfellas just look at Jay-Z, Nas and 2Pac. Their music and artistic personas offer plenty of reasons to revisit the conversation. 😂🤭
Goodfellas ipo kwenye debate ya filamu bora ya muda wote na Scarface ipo kwenye debate ya filamu overrated za muda wote, huu ubishi kwa mtu wa filamu hauna tija hata🚮
Mimi sijaona influence yoyote ya moja kwa moja hapa homie, filamu ulizo mention zina utofauti mkubwa mkubwa na Scarface, nilivyoona Casino mpaka nimecheka sababu hata hujui kuwa Casino imeegemea kwenye hadithi ya kweli.
Okay sasa ngoja uone impact
2
95
















