Tima (@Official__Tima) header
Tima (@Official__Tima) profile picture

Sky is the limit

Tanzania
Joined April 2013
Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)Photo by Tima (@Official__Tima)
“If you want to be successful, you must respect one rule – never lie to yourself.” — Paulo Coelho
32
431
12
3,792
60,170
Jamhuri imeshindwa kabisa kuthibitisha shtaka la uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Kwa msingi huo, Mahakama imekubali kwamba ushahidi uliowasilishwa haujathibitisha kosa la uhaini. Jaji Dunstan Nduguru anaeleza kwamba, pamoja na Jamhuri kushindwa kuthibitisha kosa kubwa la uhaini, Mahakama imepewa wajibu wa kisheria kuchunguza iwapo kuna kosa dogo linaloweza kuthibitika kutokana na ushahidi uliowasilishwa Kwa mujibu wa maelezo ya Jaji Dunstan Nduguru wakati akisoma hukumu ya kesi hiyo anasema, mamlaka hayo yanatajwa chini ya Kifungu cha 339 cha Kanuni za Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Kifungu kinachoipa Mahakama uwezo wa kumtia mshtakiwa hatiani kwa kosa dogo linalotokana na kosa kubwa, pale ushahidi hautoshi kuthibitisha kosa kubwa lakini unathibitisha kosa dogo. Jaji anasema Mahakama inatambua kwamba uchochezi unaweza kuwa cognate offence — yaani kosa dogo lenye uhusiano wa moja kwa moja na kosa kubwa lililokuwa katika shtaka la awali. Jaji Nduguru anasema Mahakama imejielekeza katika (conviction for a minor and cognate offence) endapo mashtaka makuu hayajajitosheleza lakini ushahidi unaonyesha kosa lingine lililotendeka. Mahakama imeridhika kwamba Tundu Antiphas Mughwai Lissu ametenda kosa dogo la uchochezi na hivyo Mahakama kumtia hatiani kwa mujibu wa Kifungu cha 380 cha Kanuni ya Adhabu.
35
163
3
936
47,648
Unyanyasaji wa wanafunzi wa sekondari mitandaoni Kwa mujibu wa mtafiti Hezron Zacharia Onditi na Shapka Jennifer (2019), katika utafiti kuhusu unyanyasaji mtandaoni kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania, walibaini kuwa 42% ya wanafunzi waliwahi kuwaonea wengine kupitia vifaa vya kielektroniki, huku 58% wakiwa wamewahi kuwa waathirika wa vitendo hivyo #ElimikaWikiendi Chanzo: commons.udsm.ac.tz/jhss/vol8… Usikose kufuatilia mjadala kuanzia saa 4:00 Asubuhi tutaangazia namna ya kuwasaidia vijana wanavyoweza kutumia mitandao ya kijamii kwa uwajibikaji.
15
15
452
Tima retweeted
ENDING october with a GRATEFUL heart.
23
543
37
1,736
40,657
Kama unatamani kufika mbali kwenye maisha basi jiepushe sana na dhuluma🤝
16
38
2
333
8,862
Kuna siri za mafanikio ya watu ukizijua utashukuru na kuridhika na ulichonacho #ElimikaWikiendi
3
4
11
304
Always pretend you don’t have money.
71
339
20
3,447
64,457
the power of prayer is so real. don't ever doubt it.
21
970
14
5,218
87,971
𝗞𝘂𝗺𝗯𝘂𝗸𝗶𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮 𝗧𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝟮𝟵 𝗢𝗸𝘁𝗼𝗯𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Mwaka mmoja tangu matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, TMC, kupitia Kikundi Kazi cha Utawala wa Mtandao Tanzania (IGTWG), inaungana na mashirika mengine ya kiraia kuwakumbuka waliopoteza maisha, kutoa pole na mshikamano kwa manusura na familia zilizoathirika, pamoja na wote ambao bado wanasubiri majibu. Taarifa ya pamoja inaangazia umuhimu wa ukweli, uwajibikaji, msaada kwa familia zilizoathirika, heshima kwa haki za binadamu, na ulinzi wa haki za kiraia na haki za kidijitali. Katika kuadhimisha siku hii, tunasisitiza umuhimu wa haki, uponyaji, maridhiano ya kitaifa na dhamira ya pamoja ya kulinda utu wa kila mtu. 📄 Soma taarifa kamili hapa: bit.ly/29thOct_Statement #TMC #IGTWG #HakiZaBinadamu #HakiZaKidijitali #Tanzania
1
21
25
781
Ukatili wa kijinsia kwenye ndoa/mahusiano haupaswi kunyamaziwa! Matukio haya yameendelea kutishia usalama wa wanawake na wasichana, wakati mwingine kuhatarisha maisha yao. Jumamosi iliyopita kwenye jukwaa la #ElimikaWikiendi, tuliandaa mjadala ulioangazia jinsi kutambua viashiria vya ukatili, madhara yake na namna ya kuripoti ili kupata msaada. Tenga muda wako sikiliza kupitia YouTube channel yetu. Link: tinyurl.com/3kxzn3s7 #ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
1
21
2
23
800
Dada Josephine ni moja kati ya watumiaji wazuri wa Intaneti, akizungumza na #MkulimaWaKidigitali ameeleza ni kwa namna gani anatumia intaneti Tuambie intaneti imebadilisha maisha yako kwa kiasi gani? #TDC2026 #MIL #TMC
18
1
20
749
No success until you accept the pain of discipline.
37
230
10
1,964
37,160
NEVERRRRRR underestimate how much Allah is protecting you from things you don’t even know about.
9
125
5
1,298
18,347
Tima retweeted
“Allah does not burden a soul beyond its capacity.” — Qur’an 2:286
8
288
3
1,601
20,077
Sato vs Sangara Au wote. Vyote ukitaka in one package sema. We deliver. 0762344677
29
1
41
15,846
Size:40-45 Tsh.75,000 CONTACTS:+255718007463 For pickup 🛵 📦 and delivery 🛵 🚚 #zimbabwe #zanzibar #tanzania #Zambia #dodoma #serengeti #Nairobi #kilimanjaro
11
11
451
Umri huja na hekima yake hasa baada ya miaka 40!
1
3
246
Kama elimu yako haikutoi kwenye umaskini. Basi umaskini upo ndani ya elimu yako.
23
49
148
2,241
Kuwa financially stable kunahitaji ubinafsi(ubahili) wa kulinda pesa zako dhidi ya dharura za kifedha za watu wengine. ✍🏽✍🏽
19
84
5
385
14,371
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi 🙏🏽✝️
32
207
4
1,010
16,322