Pinned Tweet
Muda mwingine usiwe na haraka ya watu kuona kile unachofanya.
Hakikisha kwanza kile unachofanya kina msingi imara.📌
Bro @MarekaMalili naskia ukiwa unakunywa supu ya Sangara, huna haja ya kuahangaika na maswala ya " skin care "??
PaschalSam1 retweeted
Naomba Repost Yako 🙏❤
⌚Labaoli
Tsh.50000
☎0752777167
📍Popote Tanzania Nakutumia
PaschalSam1 retweeted
Jumapili ya Makoto pale 777Bet nimekuandalia mkeka wewe weka 10K tu.
Odds:21
Link ya mkeka: ks.gy/1tZ00S089503
Zima VPN ukienda kuweka jamvi lako.
promocode:777ANU.
#777BetMabingwa
#777BetTz
PaschalSam1 retweeted
“I still uses an iPhone 6 from over 10 years ago because I doesn't believe in upgrading something that still works”
~ Ice Cube
Ice Cube who's worth around $160M
PaschalSam1 retweeted
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
PaschalSam1 retweeted
Pilau Day
Inanoga zaidi mwanaume ukipita sokoni na mkeo mnunue mazagazaga, bila kusahau vinywaji halafu malipo mna scan kwa Tembo Visa Card.
Ndio kila muamala unaofanya unaingia kwenye draw ya kushinda 1M kila siku.
#KilaMtuApateNaTemboVisaCard
Tambua na yakubali madhaifu yako. Usipotambua udhaifu wako hautaweza kuweka juhudi katika kujiboresha..! 📌
Wachina wanaitaka ROOM OF JEANS, Wapakistani nao wanatajwa kuwa na interest,halafu Dominic Mmasi anataka $10M ndio aweze kuuza,So amekataa $ 2.5M. Hivi hapa tunazungumzia biashara ya nguo au brand imekuwa na thamani kubwa kuliko tunavyofikiria? 😂
PaschalSam1 retweeted
Kuna tetesi kuwa brand ya ROOM OF JEANS inawindwa na wawekezaji kutoka China na Pakistan. Inadaiwa wadosi wamefika $2.5M, huku mmiliki wake, Dominic Mmasi, akitaka zaidi ya $10M ili kuachia brand hiyo.
Je, Dominic Mmasi anapaswa kuuza au aendelee kuijenga brand iwe kubwa zaidi?
PaschalSam1 retweeted
Hakuna mambo ya "Mwakani", zawadi ziko hapa sasa hivi 🎁
Kila unachonunua msimu huu wa sikukuu, hakikisha unalipa kwa TemboCard VISA. Yaani sio tu kwamba unafanya manunuzi kwa urahisi na usalama, bali pia unajiongezea nafasi ya kuondoka na Mkwanja kila wiki, kila mwezi mpaka mwisho wa mwaka!
#kilamtuapatenatembocardvisa
PaschalSam1 retweeted
Watu wanashangaa baada ya kuona Room of Jeans amewekewa $ 2.5M mezani na amegoma kuichia yeye anataka $ 10M
Kuna ambao wanasema auze afanye mambo mengine huku wengine wanasema akaze kwani baada ya miaka kadhaa mbele brand ya ROOM OF JEANS inaweza kuwa na thamani ya zaidi ya hiyo na wanaenda mbali kwa kusema Dominic Mmasi asije akarudia kosa ambalo alifanya yule msanii wa Bongo Fleva.
Wewe ungefanyaje? 😅
































