Lubs 2.0 @MarekaMalili @Kiganyi_
😂
2
Navigator retweeted
Ngoma ilianzia Arusha ambapo Makonda alisimama kwenye mimbali na kutoa nasada zake akiwataka viongozi wa kanisa na waumini kutenga masuala ya ibada na siasa za kulaumiana
sik chache baadae Bagonza akajibu kuwa Kanisa limenajisiwa kumruhusu Makonda kukaa kwenye mimbali na kuhubiri
Navigator retweeted
hehehe unakimbia kutekwa tanzania, unaomba hifadhi denmark au ujerumani, unakataliwa, unatupwa rwanda upambane na kagame mamae. anyway, hatua kama hizi zinapaswa kutusukuma kuharakisha mapambano ya kujenga tanzania yetu bora. dunia haitutaki, tujenge yetu:
EU countries announce migrant deportation centre in Rwanda
More on Aljazeera.com
Navigator retweeted
Some Africans believe that this is the last stage of CIA training in Africa
Once they pass this stage & understand Africans, they later return as experts in African relations, work as human rights activists, & dictate to Africans what to do
No African does this in Europe or USA
Navigator retweeted
Nov 17th
45 days until January 1st _027
You don't need to make sense to everyone. The right people will appreciate your kind of crazy.....
Navigator retweeted
The West portrays Iranians as bloodthirsty terrorists while conveniently forgetting its own record of slaughter.
Western forces bombed Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Syria and Libya — while Washington supplied Saddam Hussein with chemical weapons that burned, poisoned and killed Iranian children.
The US killed more than 100 innocent schoolgirls in Minab, yet still lectures Tehran about barbarism.
So, who is really the terrorist?
Security ni nini tukijita kwenye movies 🍿🤣
Kitu ambacho wengi mnakisahau ni kwamba TISS ni kifupi cha Tanzania Intelligence and Security Services. Kwa mantiki hiyo, taasisi hii ina dhima kuu mbili zinazohusiana kwa karibu lakini zikiwa na majukumu, vipaumbele vya kiutendaji na mahitaji ya kitaaluma yanayotofautiana: Intelligence na Security.
Katika taasisi ya kijasusi na kiusalama, Intelligence Component na Security Component ni sehemu mbili zinazokamilishana, lakini si kitu kimoja.
Intelligence Component inalenga zaidi katika ukusanyaji, uchambuzi na tafsiri ya taarifa kwa lengo la kuelewa kinachoendelea, kwa nini kinaendelea, nani anahusika, nia na uwezo wake ni upi, na nini kinaweza kutokea baadaye. Kwa maana nyingine, inalenga kuipa nchi uwezo wa kutambua, kuelewa na kutabiri mienendo na vitisho vinavyoweza kuathiri maslahi ya taifa.
Security Component, kwa upande mwingine, inajikita katika kulinda dola, taasisi zake, miundombinu muhimu, viongozi, watumishi na maslahi ya taifa dhidi ya vitisho mbalimbali. Dhima yake kuu ni kuzuia, kubaini, kudhibiti na kukabiliana na vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa taifa.
Kwa lugha rahisi, Intelligence inahusu zaidi ubora wa kiakili na uwezo wa kupata, kuchakata na kutafsiri taarifa (intellectual superiority), wakati Security inahusu zaidi uwezo wa kiusalama na kiutendaji katika kulinda na kukabiliana na vitisho (protective and operational capabilities).
Taifa linahitaji vipengele vyote viwili. Intelligence bila Security inaweza kubaini na kutathmini vitisho bila kuwa na uwezo wa kutosha wa kuhakikisha ulinzi dhidi yake. Vivyo hivyo, Security bila Intelligence inaweza kulinda dhidi ya vitisho vinavyojulikana, lakini ikashindwa kutambua mapema vitisho vipya, tata na vinavyoibuka.
Kwa mantiki hiyo, naamini vigezo vya kum-recruit Intelligence Officer na Security Officer haviwezi kuwa sawa kwa kila kipengele. Hata tathmini ya uwezo na uchunguzi wa kiusalama (vetting) unaweza kuzingatia mahitaji tofauti kulingana na aina ya majukumu, ingawa taratibu za awali za uajiri na uhakiki zinaweza kuwa na mambo yanayofanana.
Kwa mfano, unapomtathmini mtu kwa ajili ya majukumu ya kiutendaji yanayohusisha ulinzi wa viongozi au shughuli nyingine zinazohitaji uwezo wa kimwilii (physical fitness) ni sifa muhimu. Lakini unapomtathmini mtu kwa ajili ya uchambuzi wa taarifa (intelligence analysis), utahitaji zaidi uwezo wa kufikiri kwa kina, kuchakata taarifa kwa haraka, kutambua uhusiano wa mambo ambayo kwa juu juu yanaweza yasionekane kuhusiana, na kuwa na uwezo wa kuona zaidi ya taarifa zilizopo mbele yake.
Kwa hiyo, Intelligence Analyst hahitaji kuwa mtu wa miraba minne ili aweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Vivyo hivyo, mtu mwenye physical fitness na kazi yake inahitaji nguvu zaidi si lazima awe na uwezo wa kufanya uchambuzi wa kimkakati.
Hata hivyo, ni muhimu kusisitiza kwamba uwezo wa kiakili na utimamu wa mwili si sifa zinazopingana, kila nafasi inahitaji mchanganyiko wa sifa hizo kulingana na majukumu yake.
Lakini labda naangalia sana movie na series. Niishie hapa nisije nikaingilia utaalamu wa watu bure nikatakiwa kujieleza😂.
1
19

















