Pinned Tweet
CAF president Patrice Motsepe has watched almost every match AFCON 2025.
The man is visible tired and needs to rest now. 🤦🏾♂️
REPOSTED FROM BUNDA QUEENS
MAMA NA MWANA ♥️
Pichani ni mchezaji wetu Veronica Nyambega akiwa pamoja na mama yake mzazi, aliyefika uwanjani kumpa sapoti mwanaye katika mchezo wetu dhidi ya Geita Queens
Ni furaha iliyoje kwa mama na mwana kushiriki pamoja nyakati hizi za furaha.
🚨 OFFICIAL: Mwamuzi wa Kimataifa wa Afrika Kusini 🇿🇦, Tom Abongile ameteuliwa kuchezesha mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya MC Alger ambapo mchezo huo utachezwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Aman Complex, Zanzibar.
.
1
35
785
UMEIANGALIA hii mechi?
.
FT: GEITA GOLD 2-1 MASHUJAA FC
46’—⚽️ Fabrice Ngoy
88’—⚽️ Arnold Noah
43’—⚽️ Mundhir Abdallah
65’—🟥 Samson Madeleke
1
39
1,252
LEO hii JINI katoka ila MGANGA hoi..!!
.
FT: JKT TANZANIA 1-2 SIMBA SC
09’—⚽️ Said Mkopo
20’—⚽️ Elie Mpanzu
34’—⚽️ Libasse Gueye
.
NB: Unawaona SIMBA wakimaliza nafasi ya ngapi msimu huu?
2
9
651
SIMBA imefanya COMEBACK kama kawaida..!!
.
HT: JKT TANZANIA 1-2 SIMBA SC
09’—⚽️ Salim Mkopo
20’—⚽️ Elie Mpanzu
34’—⚽️ Libasse Gueye
.
NANI atashinda hapa?
17
414
🚨 BREAKING: ORODHA YA WALIORUDISHA FOMU KWA AJILI UCHAGUZI WA KLABU YA SIMBA.
.
NAFASI YA MWENYEKITI
🇹🇿 Anindum Jonas Semu
🇹🇿 Geoffrey Irick Nyange
🇹🇿 Mohamed Khamis Soloka
🇹🇿 Murtaza Ally Mangungu
🇹🇿 Dr. Seif Ramadhani Muba
🇹🇿 Selemani Haroub Said
🇹🇿 Swedy Khamis Mkwabi
AZAM ya FEI TOTO imekula CHUMA 4 geto kwake..!!
.
FT: AZAM FC 2-4 SINGIDA BLACK STARS
27’—⚽️ Feisal Salum (Penalti)
28’—⚽️ Zidane Sereri
38’—⚽️ Emmanuel Keyekeh
51’—⚽️ James Mwashinga
68’—⚽️ Jonathan Sowah
77’—⚽️ Jonathan Sowah
25
766
FADLU DAVIDS aanza na ushindi akiwa YANGA.!
.
FT: POLISI TANZANIA 0-2 YANGA SC
29’—⚽️ Cheikh Toure
75’—⚽️ Peter Shalulile
BAO la pili lililofungwa na PETER SHALULILE limefanywa kama salamu maalumu ya pole kwa MAXI ambaye amepata majeraha yatakayomfanya awe nje ya Uwanja.
1
6
396
GULER wa moto, Mbappe wa moto, Madrid ya moto..!!
.
FT: VALENCIA CF 🇪🇸 0-3 🇪🇸 REAL MADRID
79’—🟥 Jose Gaya
28’—⚽️ Federico Valverde
36’—⚽️ Arda Guler
75’—⚽️ Kylian Mbappe
16
709
Futbal Planet ✴️ retweeted
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu"
.
DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
"Hata kama mtu hanipendi mimi, ila mimi ndio Mwenyekiti wa timu. Utavimba, utapasuka,utasema na utachanika lakini mimi ndio Mwenyekiti mpaka pale uchaguzi utakapofanyika au nikifa au litokee jambo lolote litakalofanya nitoke ila vinginevyo nabakia kuwa Mwenyekiti wa Simba.
tumeshaziandikia barua mamlaka kwa kufuata utaratibu na mamlaka zikiruhusu basi taratibu zingine zitafuata"
"Watu wengi wananiuliza kwanini umezungumza eeh eeh lakini nimesema wajue mimi ndiye ninawawakilisha wanachama wote wakiwemo wao kama ni wanachama. Nimezungumza kwa
1
65
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu"
.
DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
BARCA wamefungwa na kunyanyaswa geto kwao..!!
.
FT: BARCELONA 1-2 REAL MADRID
61’—⚽️ Raphinha
40’—⚽️ Kylian Mbappe
88’—⚽️ Kylian Mbappe
.
🚨 OFFICIAL: Real Madrid inafikisha ushindi wa 107 dhidi ya Barcelona huku Barcelona ikibakiwa na ushindi mara 106.
3
258

















