LastKid retweeted
Hii mashine inauzwa na jamaa yangu.
Ipo MWANZA.
Lenovo ThinkBook 14 G7 | Ryzen 5 7535HS | RAM 16GB | SSD 512GB | 14” WUXGA | Backlit Keyboard | Fingerprint | USB4.
Slim, powerful amd premium.
Ilinunuliwa mpya 2025.
Price: Tsh 1.2M
📞 0762344677
Please rt wakubwa 🙏🏼
Huwa inakwaza sana unapohitaji kuzifikia baadhi ya Taasisi za Kielimu hapa nchini, kupitia Mawasiliano yao yaliyopo kwenye tovuti zao halafu baadhi zinakuwa hazipatikani, zinazopatikana hazipokelewi na nyingine hazijalipiwa. @iaatanzania ninawapata kwa njia gani?
30
LastKid retweeted
Maana ya neno FOCUS si kutokutana na vikwazo, bali ni kutoruhusu vikwazo vikupotezee mwelekeo.
LastKid retweeted
Sijawahi ona watu wanasifu na kuabudu on the internet kama leo humu Twitter...things i love to see,nawasihi tuwe tunamtegemea Mungu kwenye kila kitu...sio hili la leo tu.
LastKid retweeted
Kadri umri unavyosogea na uzoefu wa maisha kuongezeka. Unagundua kuna njia ambazo ni za wewe kwenda peke yako bila ndugu, marafiki wala mwenza. Ni wewe na Mungu wako tu.













