Need essay writing help? Send your assignment prompt and get a price quote from @ProWritersHelp
Hey, Do you want excellent grades? Look no further than your plug @ProWritersHelp . HMU for help with your essays and assignments. ✍️
2
605
tunawakumbusha kama walikuwa hawajui ama walisahau maana binadamu sio mkamilifu . hii sio loser cup ni caf champions league 😁😂
huu ndio mfano wa kuionesha kuwa simba SC ni kubwa barani afrika imetoa wachezaji wa 4 katika kikosi cha mechi ya 5 katika hatua ya makundi.
kama bado hujapiga kura ya mchezaji bora wa CAFCCL mechi ya 5 nenda kapige sasa.
wana simba hatuna jambo dogo. kama bado hujapiga kura nenda kwenye acc ya CAFCCL ukapige kura kwa wachezaji wetu.
Clatous chama & sadio kanoute


















