
Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC. #KBCRadioTaifa
Nairobi, Kenya
Joined May 2013
- Tweets93.4K
- Following1K
- Followers70.5K
- Likes109K
Gavana wa Homabay Gladys Wanga amemtembelea Kiongozi wa ODM, Oburu Oginga nyumbani kwake. "Nafurahia kumuona Oburu akiwa na nguvu na mchangamfu' amesema Gavana Wanga.
#KBCRadioTaifa ^FN
Rais William Ruto ameungana na viongozi wengine wa Afrika katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, katika Jumba la Grand Kremlin jijini Moscow, pembezoni mwa Kongamano la Tatu la Urusi na Afrika kuhusu Uchumi na Masuala ya Kibinadamu.
^FN
BAYERN VS AJAX
“There is a quiet poetry in this fixture. Raila Odinga studied in Germany. Now a great German club will come to play in the house that bears his name,” - William Ruto
RAILA ODINGA INTERNATIONAL STADIUM
WILLIAM RUTO - "This is Kenya's first purpose-built football and rugby stadium and the first international stadium our nation has built since Kasarani in 1987, nearly 40 years ago.
#KBCRadioTaifa ^FN
President Ruto announces renaming of Talanta Stadium to Raila Odinga International Stadium.
#KBCRadioTaifa ^FN
We want a United Country where people can compete on the basis of Ideas - Kithure Kindiki.
#KBCRadioTaifa ^FN
Kenya has a very efficient workforce that we are open to sharing - Ruto
#KBCRadioTaifa
Gladys Shollei - "Rais Ruto anaposema, “Usawa ni sawa,” ni kweli. Programu zake zote zinalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata fursa sawa."
#KBCRadioTaifa ^FN
Rais William Ruto amewasili Moscow, Urusi kushiriki mkutano wa tatu wa kati ya Urusi na Afrika.
Katika mkutano huo Rais analenga kuboresha uhusiano wa kati ya Urusi na Kenya na kupanua ushirikiano wa kimkakati katika Biashara, uwekezaji , nishati , miundo mbinu na teknolojia.
“Sifuna, ikiwa unataka kuwa Rais, kwa nini unaenda Wamunyoro? Kwa nini Wamunyoro asije Bungoma?” — Fernandes Barasa.
Rais William Ruto amewasili jijini Moscow, nchini Urusi, kuhudhuria kongamano la Tatu la Uchumi kati ya Urusi na Afrika, kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya Kenya na Urusi na kuendeleza ushirikiano wa kimkakati katika biashara, uwekezaji, nishati, miundombinu na teknolojia.
KBC Radio Taifa retweeted
Replying to @Mtotomzuri001 @RadioTaifaFM
Ndani kwa mpigo tena zaidi nikiwa na Nyamwaya na Amollo hapa UoN.
Rhumba médicale !!!!
@Mtotomzuri001
@radiotaifafm
KBC Radio Taifa retweeted
Nyakach-Mwana ateketeza nyumba ya Baba yake kwa Lengo la Kumuua ili apate urithi wa Mai,
Kilifi-Mzee mmoja aliuliwa kwa kupigwa mawe kichwani,washukiwa ,Vijana wa Jamii
Mada ya siku-Kauli Yako Ni Ipi?
#Tafrija
@RadioTaifaFM
@Mtotomzuri001
'Hii Ni Kubwa.
KBC Radio Taifa retweeted
Replying to @Mtotomzuri001 @RadioTaifaFM
Nakuru Kaptembwa
#Tafrija
MAISHA NI FUMBO
FUNZO
1. Usimpime mtu kwa matokeo yake ya leo, kwa sababu hujui kesho yake imebeba nini.
2. Wazazi wanapaswa kuelewa kuwa watoto wao si mashindano. Mtoto mmoja akifanikiwa zaidi ya mwingine, hiyo haimaanishi kuwa mwingine hana thamani.
KBC Radio Taifa retweeted
Replying to @Mtotomzuri001 @RadioTaifaFM
Katika Maisha ni Fumbo nimejifunza jambo kuwa :
1. Waliokudharau Siku Moja watakusalimia kwa heshima.
2. Ubora wa mtu umo ndani ya mtu mwenyewe,,, sio kwa masomo pekee yake.
#Tafrija(Maisha ni Fumbo)
@RadioTaifaFM
@Mtotomzuri001
"Hii ni Kubwa Na Si Chocha"
KBC Radio Taifa retweeted
Replying to @RadioTaifaFM @Mtotomzuri001
KBC Radio Taifa retweeted
Replying to @RadioTaifaFM @Mtotomzuri001
Kamemba Joseph, tunasema "TAWE!"kwa huo utafiti.
KBC Radio Taifa retweeted
Replying to @RadioTaifaFM @Mtotomzuri001














