R E G G I E retweeted
"Mimi ni mke wenu mkubwa"
#MtiaNia,2025.
Kujiajiri ni KIPENGELE 😁
Msaada
Ni wapi hapa Dar naweza kupata vifaa vya ngoma za asili...mfano ngoma, njuga, pembe, filimbi etc
@ZakayoMmbaga @MoruoKing
Ni kama radio za Tz now days ni sehemu ya kubet zaidi....taarifa ni chache ila matangazo ya kubet ni mengi.
R E G G I E retweeted
Sasa ‘mys’ niko na huu ujumbe fanya ka una rt hivi.. 😀
@eastafricatv
#hikasshoes
R E G G I E retweeted
When traffic comes to a halt in Germany, drivers by law must move to the edge off each side to create an open lane so emergency vehicles like ambulance, fire brigade can pass .
This type of road education must become mandatory in every country.
R E G G I E retweeted
Tunaunda incubator za aina zote na tunatoa warranty ya mwaka mmoja. Wasiliana nasi kwa simu 0713651858. Akili nyingi nguvu kidogo💪🏼
Napita Ubungo external nakuta container limeanguka. Likanitia machungu ya Prof. Ngowi.(R.I.P)
Government arms should take initiatives on this otherwise tutaumia sana.
R E G G I E retweeted
Licha ya mikanda kama hii pembeni nyuma na mbele hata katikati kuna sehemu maalum ya kufungia kontena. Polisi wanaona kulala maporini na kupanda juu ya miti na tochi zao ni njia pekee ya kuzuia ajali. Malori yanayobeba makontena kwanini yaruhusiwe kupita yakiwa hayajafungwa?




















