
GOD FIRST|| Football|| HIP-HOP|| @liverpoolfc || @simbasc|| Mzee Mbuzi 🐐|| JÜRGEN KLOPP❤️|| Home Sio Safi|| UDSM|| Dental is and forever be my home 🦷
Tanzania
Joined December 2021
- Tweets104K
- Following900
- Followers1.6K
- Likes87.1K
Robyn George retweeted
Acha kuona watu wazembe au wavivu kisa hawajafanikiwa kama wewe just be grateful……Kuna mtu anafanya kama unachofaya pengine kwa juhudi kukuzidi Ila hajafanikiwa kama wewe it’s just God kaamua kukufungulia wewe👍🏾
Robyn George retweeted
Salah Epl ~ kadi za njano 6, # 4 ni za kuvua t-shirt ~ mara 5 dhidi ya man united 🤭😁😁
Most underrated Egyptian 👑
Robyn George retweeted
Nauliza, hivi hospital hakuna namna wanaweza futa Memories mbaya katika kichwa cha mtu??😒😒
Robyn George retweeted
Mwez huu November pale premier league timu kubwa ambazo hazijapoteza mchezo wowote ni Arsenal na Manchester united tu.
Hao wengine ndo wanafanya lig idharaulike kama Liverpool Mwez wa 11 tu kapoteza 2 🚮
Robyn George retweeted
Ukipata nafasi ya kuajiriwa, usiichezee chukua ajira. Huku kwa ground kujiajiri ni tough sana.
Ukiwa kwenye ajira una nafasi nzuri ya kuwa na vitega uchumi vya kukuingizia dusco za hapa na pale.
Robyn George retweeted
Nimekaa na wife hapa kidogo HATIA namba 2 iniletee shida maana akawa anahisi ni kama mimi nimemuekea hiyo ngoma maksudi ila nikamwambia awe mvumilivu mpaka pale jamaa aliposema
"nikuumize kama mke wangu mpuuzi aliyekumbia na rafiki yangu siku 1 baada ya harusi"
Hapa akatulia😄
Robyn George retweeted
Mijadala migumu hii mim ndo napenda 😂🔥
( NB: 150M)
Robyn George retweeted
Wakuu hii SILO mimi ndio siielewi au ni kichwa changu kizito? 🙌🙌 especially hii season 2.
Robyn George retweeted
Ni bora timu iwe na wachezaji wa kawaida alafu kocha mzuri
Kuliko ikawa na wachezaji wazuri kocha Tapeli 🚮🚮
Robyn George retweeted
Imagine hii video halafu ndio tungekuwa tunatandaza boli la maana na tupo kule juu kwenye title race … God when 🥲
Plse Gaffer make us better . Do something .
Robyn George retweeted
Kopama kiwango kimeshuka sana ila Hata Alonso hamna kocha pale anachangia yote hayaa Alonso ni TAPELI.
Replying to @hamis_abas
Nilikuwa kinyozi juzi kwenye taarifa ya habari mtangazaji anasema cole palmer kaachwa na tuchel licha ya kuwa na kiwango bora
Nikasema bora siaangalii taarifa ya habari 🤣
Robyn George retweeted
Piga kazi kaka 🤣🤣🤣🤝
Replying to @hamis_abas
Nilikuwa kinyozi juzi kwenye taarifa ya habari mtangazaji anasema cole palmer kaachwa na tuchel licha ya kuwa na kiwango bora
Nikasema bora siaangalii taarifa ya habari 🤣



























