Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo) header
Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo) profile picture

| FARMER @MagoleFarm 🍃 🚜 | @NyavuTz | @LMadvisory | @VapperTech | #SYT | Coordinator: @FMFound | Banana Expert ask @Salim_Alkhasas | #MWF16 | 413 |

Joined May 2009
Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)Photo by Lusajo L.M. ™ | 1440 (@Sajjo)
Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, maana nimekutumaini wewe. Unijulishe njia ntakayoendea, kwa maana nakuinulia nafsi yangu. Zab 143:8
21
183
5
581
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
😀
1
1
1
2
833
Kama movie halafu kuna kimbunga jangwani 🙌🏽
1
617
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
Replying to @Sajjo
Me nadhani hawa TTCL fiber inatakiwa ifumuliwe.. wawekwe watu wenye ambitions and vision
1
273
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
Replying to @Sajjo
My thinking is.. They changed the focus but it is not well communicated to us. Mjini Daslam hizo fiber TAT ni forever. Una apply kwenye system alf inaishia hapo hapoo wote mnasahau
1
1
1
556
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
Replying to @Sajjo
Huku wanapiga kazi vibaya mno labda wameona soko la dar ni gumu kwao😂😂😂
1
1
241
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
Replying to @Sajjo
Naam ni heri iperform hata mikoani. Mikoani internet ni kama anasa maeneo mengi
1
1
253
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
Replying to @Sajjo
Dar siyo soko Gumu sababu walikuwa na miundombinu kabisa ya kutembeza hizo fiber zao kila sehemu ya dar sijui walikwama wapi
1
85
Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndio mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu. 1 Wathesalonike 5:16-18 🙏🏽
7
13
601
Blue is the Color.
4
291
Lusajo L.M. ™ | 1440 retweeted
Gramps Morgan ~ People like you🎶🎶 I've heard up there the streets are made of gold And when you get there, there's a hand to hold I believe when your days down here are through There's a place up there for people like you
1
1
1
534
If you stand up for those down on their knees And lend a voice to those who cannot speak If you shine a little light, give sight To the ones who've lost their way There's a place for people like you…
Gramps Morgan ~ People like you🎶🎶 I've heard up there the streets are made of gold And when you get there, there's a hand to hold I believe when your days down here are through There's a place up there for people like you
1
1
2
461
Funny enough, in other regions I have been, they’re actually the most reliable internet provider, with a turnaround time of about 36 hours from application to installation and connectivity. Atm they are deploying and expanding their network kwenye makazi ya watu kiasi kupata fiber at your home inakuwa kama kuunga umeme; kutoka kwenye nguzo kufika kwako. Siwezi ongelea Dar lakini. 🚮
TTCL ni kama imejikubalia ijifie natural death.
6
3
27
4,290
Ndugu yangu @salim_alkhasas unajua kabisa aibu yangu ni aibu yako. Tusitiriane. 😒
1
2
2,485
Toka jana Wanyaki tunaishi topeni kama kambale. 🥹
2
9
2,147
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu na Mkombozi wangu. Zaburi 19:14 🙏🏽
1
10
915
Muda ukipita, muda umepita, cheza na sasa. —— Fareed
14
1,782
…ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndio mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu. 1 Wathesalonike 5:17-18 🙏🏽
5
16
715
Tyranny and Duplicity. A history of mankind. —— RED
1
888
Safari haikuwa rahisi sana ilikuwa na mengi sana. Tulipo wafikia wenyeji wakaanza mbio, tukauliza kwa nini wanakimbia na kuacha miji wazi tukapewa sababu za kutukimbia kwao. Kisha tukatafuta mwenyeji mmoja aliyetupokea na kutuunganisha na jamii nzima. Watu hawa wakakata shauri na kumpa Yesu MAISHA. Msingi wa neno ni; “Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. ” Mt 11:28 SUV Na kweli walikuwa na mizigo walihitaji kupumzishwa. Yesu amewashushia mizigo sasa wa HURU.
3
6
8
229
Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba kuhusu upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida. Zaburi 59:16 🙏🏽
6
43
1,547