OMUGA JR🇰🇪 retweeted
MniGuzie hapa nifike 300 @SilasPablo2 weka handles tuinuane
I see my people licking this guy's nuts for validation but end up getting peanut jobs in the name of employment. Power is transitional.
16
OMUGA JR🇰🇪 retweeted
Pesa ni kitu mbaya sana. Your medium Ugly sister akikuja nairobi kazi ya mboch huwa anaangukia Msungu sababu she looks ‘African’ ,almaarufu kienyeji, mkidhania mmepata mtu wa kusaidia familia yenu,angalau awatumie invites muende Germany kama yeye,huwa anawageuka. Mtu anatumiwangwa pesa ni mama yenu. Nyinyi ndugu zake anawaambia mtafute kazi muwache ‘kustress mum’. Anaonanga kama hamna akili sababu mko unemployed. Na inafikanga mahali sasa,anapigia ile kampuni inaitwa Keensight security wanakuja wanaweka CCTV kwa boma, awaonange akiwa majuu mnafanya nini kwa nyumba alijengea mama yenu
Kazi sasa itakua kupiga simu sunday akisema mnamsikilianga wivu. Shamba yenu wanapanga na mama yako,inakua transferred kwake,ndio msiuze. Muendelee kuteseka juu hamna akili. Alafu siku moja anakupigia whatsapp anakuuliza kama unaweza taka kurudi shule,usome uwachane na kazi ya kibarua. Na saa hiyo ID inasema uko 39 years! Anakuambia urudi form 3. Woi ngai fafa! Fear women with money bwana. khabusie!






