
Broadcast Journalist | Producer @shneida_infos on Instagram.
Dar Es Salaam
Joined July 2019
- Tweets1.5K
- Following148
- Followers333
- Likes43.2K
shneida_infos retweeted
Nimezungumza na King Parazo Mr T Touch kuhusu kilichopelekea kuwa na tofauti kati yake na @S2KizzyOfficial
Interview kamili ipo YouTube ya @earadiofm
#TogetherTunawakilisha #EastAfricaTV
Nimezungumza na King Parazo Mr T Touch kuhusu kilichopelekea kuwa na tofauti kati yake na @S2KizzyOfficial
Interview kamili ipo YouTube ya @earadiofm
#TogetherTunawakilisha #EastAfricaTV
shneida_infos retweeted
Tukio la SIMBA kuwasha tochi za simu na taa za uwanja kuzimwa limewamaliza sana watani,
Leo saa 10 jioni Shifta anasema ziwashwe tochi, D Voice anataka hivyohivyo tochi ziwashwe mapema hivi wakati bado kuna mwanga🙌
shneida_infos retweeted
Unakuta umekamatwa na polisi anakuhoji kila swali unajitetea unalipangua halafu swali la mwisho anakuuliza kwa hiyo polisi tunakusingizia? Au polisi ndio ameiba?
Chochote utakachojibu hapo jua umeingia kwenye 18 😄
shneida_infos retweeted
Kwenye moja ya interview Mo Dewji anasema mke wake amempangia muda wa kurudi nyumbani mwisho saa 5 usiku, na hawezi kutoka mpaka ruhusa ya mkewe 🙌
Kumbuka huyo ni tajiri namba 1 Africa Mashariki anapangiwa muda wa kurudi🙌
Credit : Mkasi Salama Jabir
shneida_infos retweeted
Walichofanya @bienaimesol x @OfficialAliKiba kwenye ngoma ya Finale ni kama kufanya mapenzi na muziki.
Pure talent, pure sounds na ladha ya muziki imesikika kwenye hiyo ambayo kiujumla imetupa good music.
Kiba amewakoa wasanii wa TZ waliowahi kufanya wimbo mmoja na Bien🙌
shneida_infos retweeted
First Eleven ya wasanii wanaojua kucheza mpira Bongo
1. Tundaman
2. M2 the P
3. KR Mulla
4.Mansu li
5. H Baba
6. Stamina
7. Hussein Machozi
8. Amini Mwinyimkuu
9. Alikiba
10. Maarifa
11. Foby
shneida_infos retweeted
Bro to bro ni kauli gani ya Mwanamke huiamini kati ya hizi 👇
1. Sina nauli
2. Niko Period
3. Mi bado bikra
4. Sina mwanaume mwingine zaidi yako
5. He is just a friend
6. Mmh mwenzio naogopa
7. Nina mimba yako
8. Simu ilizima
9. Siwezi kukusaliti
10. Nakupenda
shneida_infos retweeted
Ikiwekwa battle la nani mkali wa Chorus TZ! nahisi tutakesha na kuishia kwa #QChief na #LadyJayDee tu, Chorus wamezichapa kweli kweli hapo sahau kabisa kuhusu #GNako anafuata baadae!
shneida_infos retweeted
Anauliza kama nina demu namwambia sina, anahisi ashainiona sehemu tatizo kanisahau jina
Unaitwa nani? Fid Q
Unaishi wapi? Ghetto
Kazi yako nini? muziki
Ahh sema @FidQ alijimbu kigangster sana yule mrembo mwenye umbo namba 8
shneida_infos retweeted
Prime EATV ilikuwa na Salama, Seki, Dullah, Sam Misago, Bhoke, TBway, Patrick Nyembera, Zembwela, George Bantu, Kennedy the remedy, Jamal, Ian Dialo, Anna Peter, Ben Kinyaiya, Maimatha wa Jesse!
Kuna mmoja wapo anarudi unadhani ni nani?
shneida_infos retweeted
Nimepiga story na Zombie S2Kizzy akielezea kinachoendelea kati ya na Mr T Touch!
shneida_infos retweeted
Kama unaikumbuka hii unatakiwa uwe umehama kwenu, umeoa, umeolewa, uwe na watoto na wajukuu wawili😂
Unakumbuka nini ukiiona hii?
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎥✍️ @Shneida_Infos
Prime EATV ilikuwa na Salama, Seki, Dullah, Sam Misago, Bhoke, TBway, Patrick Nyembera, Zembwela, George Bantu, Kennedy the remedy, Jamal, Ian Dialo, Anna Peter, Ben Kinyaiya, Maimatha wa Jesse!
Kuna mmoja wapo anarudi unadhani ni nani?
shneida_infos retweeted
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akielezea mpango wa kumleta rapa wa Marekani @RickRoss nchini Tanzania.
Video ya Waziri Makonda akizungumza na waandishi wa habari ipo Youtube ya @earadiofm
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎥✍ @shneida_infos

