Hassan (@SureBoy255_) header
Hassan (@SureBoy255_) profile picture

I come from nothing but through faith and commitment to my craft, I am going to get what's mine 𓃵

Dodoma, Tanzania
Joined February 2020
Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)
Kitu gani lazima gheto la mwanaume kiwepo...?🤔
274
52
9
1,254
Hassan retweeted
New officers, new responsibilities, one mission: Protect Tanzania! 🇹🇿
9
9
214
Hassan retweeted
Siasa zinapaswa kuwa njia ya kutetea maisha na ustawi wa wananchi, si sababu ya kuhatarisha uhai wao. Umaarufu mnaoupambania kwa kuwatumia wananchi kama chambo cha kutimiza maslahi yenu ya kisiasa unaweza kuwa na mwisho mbaya sana. Tukumbuke kuwa changamoto...
1
1
2
117
Siasa zinapaswa kuwa njia ya kutetea maisha na ustawi wa wananchi, si sababu ya kuhatarisha uhai wao. Umaarufu mnaoupambania kwa kuwatumia wananchi kama chambo cha kutimiza maslahi yenu ya kisiasa unaweza kuwa na mwisho mbaya sana. Tukumbuke kuwa changamoto...
1
1
2
117
zote tulizonazo kama taifa haziwezi kutatuliwa kwa vurugu, bali kwa busara, mazungumzo na njia za amani. Maisha ya Watanzania yana thamani kubwa kuliko umaarufu wowote wa kisiasa.
55
Hassan retweeted
Commander-in-Chief at work.🫡
9
12
321
Hassan retweeted
Uzalendo una sura, nidhamu ina thamani na ulinzi wa Taifa ni dhamana. Amiri Jeshi Mkuu kazini! 🇹🇿♥️
9
12
281
Hassan retweeted
Taifa salama linahitaji jeshi imara. Leo ni siku ya fahari kwa Tanzania! ❤️🇹🇿
9
12
252
Hassan retweeted
Nidhamu, utii na uzalendo ndiyo misingi ya Jeshi imara. Hongera kwa maafisa wapya wa JWTZ!
10
12
303
Hassan retweeted
Chini ya uongozi wa Amiri Jeshi Mkuu, Taifa linaendelea kuimarisha kizazi cha viongozi wa kijeshi wenye weledi na uzalendo.
9
11
265
New officers, new responsibilities, one mission: Protect Tanzania! 🇹🇿
9
9
214
Hassan retweeted
Amiri Jeshi Mkuu mwanamke, lakini dhamana ya kuliongoza jeshi analibeba kwa weledi na heshima. Mama kazini! 🇹🇿
11
1
14
289
Hassan retweeted
Uongozi ni vitendo, dhamana ni wajibu. Mama Samia katika utekelezaji wa majukumu yake kama Amiri Jeshi Mkuu.
11
12
281
Kuna wakati lazima watu waone ukweli, waukubali na kuufanyia kazi.,kuuona ukweli na kisha kuendelea kuamini Uongo ni UJINGA.
1
5
11
305
Tusifanye siasa za kijinga zitaligharimu Taifa hili. litagharimu Roho na Damu za watu; Ni hatari...! Nape📌
5
25
549
Sema upone acha kusemea wengine wewe siyi msemaji wa Watanzania na kuhusu maridhiano hayatokuwa ya chadema na hata mkijifanya kutia nakshi nakshi hakuna atakaye rudi nyuma walio tayari wataendelea ambao hawako tayari hakuna kuwabembeleza maisha lazima yaendelea kama kawaida.
Replying to @SureBoy255_
Ungekuwa na akili hata kidogo ya kwako binafsi na sio hiyo ya tumboni basi ungejua Wana sababu za kutosha za kugoma na kuhitaji wasikilizwe matakwa yao ili tupone kabisa
1
2
9
280
Dar Es Salaam in Tanzania 🇹🇿 is one of the world's fastest growing cities with an increase in population from 4.365 million in 2012 to 6.7 M in 2020 and nearly 9 M by 2026. It is the most populous area in East Africa, and one of the cities that will host the AFCON PAMOJA 2027.
8
46
12
308
20,362
Kwahiyo kwasasa huyu ndiyo Mwenyekiti wetu wa Chadema..?
5
12
744
Amani, utulivu na umoja ni msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ni kwa muktadha huo leo nikifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro nimelipongeza Jeshi hilo kwa kazi kubwa ya kudumisha amani na utulivu, pamoja na kuhakikisha nchi yetu inaendelea kuwa salama. Licha ya kazi hiyo nzuri wanayofanya, ni muhimu kutambua kuwa wapo baadhi ya askari na maafisa wanaochafua taswira ya Jeshi letu. Nimeelekeza wahusika hao wawajibishwe kwa mujibu wa taratibu na sheria. Aidha, nimewasisitiza kutopuuza taarifa yoyote inayohusu usalama na kuimarisha ushirikiano na wananchi katika kubaini na kufuatilia viashiria vya uvunjifu wa amani. Ahadi yangu kwenu ni kuwa Serikali itaendelea kuboresha maslahi yenu kadiri itakavyowezekana. Nanyi ninawasihi muendelee kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, ari na uzalendo, ili kwa pamoja tutimize azma ya kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu: “Usalama Endelevu ni Msingi wa Dira ya Taifa 2050.”
27
74
2
201
11,527
Hassan retweeted
Pongezi za dhati kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 07/23 – Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25 – Regular, kwa kutunukiwa kamisheni na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hatua hii ni heshima kubwa, inayobeba dhamana, nidhamu na uzalendo katika kulitumikia Taifa. Elimu na mafunzo mliyoyapata yawe chachu ya uongozi bora, weledi na mafanikio katika kulinda amani, usalama na uhuru wa Tanzania. Hongereni sana! Wajibu, Heshima na Uzalendo.
23
28
528
Huu mzigo wa SGR mama Anaupiga, atatuacha pazuri saaaaaaaana
4
15
2
49
2,661