TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom) header
TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom) profile picture

TEWWY's mission is to bridge the intergenerational and mental health treatment gaps. We provide free mental health services and psychosocial support.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)Photo by TEWWYWisdom (@TEWWYWisdom)
🕊️ “It’s okay to not be okay. What matters is reaching out, speaking up, and remembering that your life has purpose. The world still needs your light.” #suicideprevention #suicideawareness #septembersucideday #worldsuicidepreventionday
1
38
6
Kwenye program yetu ya shule ya Sekondari a Mashujaa washiriki huwa ni Mwakilishi mmoja wa walimu, wanafunzi wawili ambao ni Mabalozi wa Afya ya Akili hapo shuleni, akina mama Wanasihi wawili na timu ya TEWWY.
1
22
Hali kadhalika kujifunza unasihi wa afya ya akili uliofanyika kwenye Serikali ya Mtaa Sinza na pia shughuli zilizofanyika kwenye Ofisi ya TEWWY. Vikao hivi huviita Linking & Learning.
19
“Katika kutekeleza programs zetu na wadau, TEWWY ina utaratibu wa kufanya vikao ili kupeana taarifa za utekelezaji angalau kila baada ya miezi miwili. Mathalani, katika program ya shule tunajifunza kilichofanyika kuhusu afya ya akili shuleni kutoka kwa walimu na wanafunzi.
1
25
Wishing everyone a joyous and prosperous New Year in 2024! May this year bring happiness and love to your life. 🎉 #HappyNewYear #MentalHealth #Wellness #NewBeginnings
28
@TEWWYWisdom inawatakia Watanzania wote Noel yenye furaha na mwaka mpya wa matumaini na mafanikio 2024 tukijua kuwa Hakuna Afya Bila Afya ya Akili na kwamba, Kwa Pamoja tuna Nguvu ya Kuhamasishana na Kushinda! #HappyHolidays #SeasonsGreetings #HappyNewYear
9
Watu wanaofanya mazoezi mara kwa mara wana afya ya Akili iliyo bora zaidi na wana ustawi wa kihisia na viwango vya chini vya ugonjwa wa Akili; Siyo lazima mazoezi yawe ya nguvu, yenye mpangilio maalum au yale yanayochukua muda mrefu ili kupata faida;
1
7
Zoezi lolote ni bora kuliko kukaa bila kufanya zoezi lolote. Wataalamu wanapendekeza kuwa, watu wazima lazima wajitahidi kufanya mazoezi zaidi karibia kila siku, tuzingatie kufanya mazoezi, tusidharau. Mazoezi ni kwa afya zetu wenyewe, hususani, afya zetu za akili. Tuzilinde
1
5
Kumbuka, Hakuna Afya, bila Afya ya Akili. "Kwa Pamoja Tunaweza, Kupeana Moyo kwa Mafanikio."
4
Afya ya Akili ni hali ya utimilifu wa kifikra, kihisia, kisaikilojia na kijamii ambayo huonekana kwa namna tunavyotenda, tunavyofikiri na tunavyohisi. Ili kuweza kuwa na hali hiyo, zingatia haya: - Fanya mazoezi na michezo; - Kula vizuri; - Pata usingizi wa kutosha;
1
3
- Zungumza matatizo yako na mtu unayemuamini; - Usijitenge, shirikiana na jamii inayokuzunguka; - Tenga muda wa kufurahisha mwili; - Shiriki shughuli za kijamii; - Tenga muda wa kupumzika
3
Sikiliza, Ni muhimu kwa kila mtu kula mlo kamili, kunywa maji mengi na kuwa mwangalifu na kiasi cha pombe na kafeine unayotumia. Kwa mfano watu wenye matatizo ya afya ya akili, angalizo hili ni la muhimu zaidi kwa sababu:
1
15
a) kula na kunywa kiafya kunaweza kukaboresha baadhi ya dalili za matatizo ya Afya ya Akili; b) ulaji na unywaji mbaya usiozingatia afya unaweza ukafanya dalili mbaya za Afya ya Akili zikawa mbaya zaidi;
1
5
c) vyakula vingine, kafeini na pombe vinaweza vikaingiliana na madawa yanayotumika kutibu matatizo ya afya ya Akili Hivyo yatupasa tuwe waangalifu, daima yatupasa tuangalie nini tunakula na nini tunakunywa. Afya njema ya mwili na afya ya Akili ni muhimu kuzingatiwa.
5
“Mara nyingine moyo wako unapoumia, kinachohitajika ni sauti yako, isikike…hakuna matengenezo yoyote ya kufanya, hakuna ushauri wa kupewa, bali kinachohitajika ni kutoa sauti kwa maumivu yako ili yaweze kuyeyuka”
17
Je umewahi kujikuta upo katika hali ya utulivu, kujisikia umepumzika zaidi, au kuwa na umakini zaidi wa mambo uyafanyayo baada ya kutumia muda wako nje na kujihusisha na vitu vya asili (nature)?
1
13
Tafiti nyingi zimethibitisha kuwa asili (nature) ina athari chanya kwenye afya yako ya Akili. Unayoona, unayosikia na unayopitia kwenye nature, yanaweza yakaboresha hali yako ya kimawazo kwa dakika. Hebu jaribu, usijifungie ndani, toka nje na ufaidi maajabu ya nature.
1
9
Ni bure kabisa. sauti kutoka tewwy
7