TPHPA (@TPHPA_Official) header
TPHPA (@TPHPA_Official) profile picture

Akaunti Rasmi ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA)

Arusha Ngaramtoni
Joined May 2021
Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)Photo by TPHPA (@TPHPA_Official)
Oct. 10, 2025: TPHPA imeanza kutumia teknolojia ya DNA Sequencer kufanya uchambuzi wa magonjwa ya mazao shambani. Prof. Ndunguru amekabidhi majibu ya sampuli walizochukua za changamoto za magonjwa kwa wakulima wa Kilolo, Iringa, akiahidi pia kutoa elimu zaidi
1
1
1
102
NYOTE MNAKARIBISHWA KATIKA HAFLA MUHIMU YA UTOAJI MATOKEO YA UCHUNGUZI WA MLIPUKO WA MAGONJWA YA MAZAO YA MBOGAMBOGA NA MAFUNZO KWA WAKULIMA WILAYA YA KILOLO
1
45
Karibu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea 2026 Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) inawakaribisha wadau wote kushiriki katika maonesho na maadhimisho yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Mei 2026 katika Viwanja vya Nane Nane,Dodoma.
1
35
Karibu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea 2026 Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) inawakaribisha wadau wote kushiriki katika maonesho na maadhimisho yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Mei 2026 katika Viwanja vya Nane Nane,Dodoma
2
39
Jinsi ya Kujisajili na kuomba kibali au leseni kwa upande wa TPHPA katika mfumo wa e-kilimo.
42
TPHPA inawatakia wadau wote Ramadhani Kareem; mwezi wa rehema, msamaha, na mafanikio mema.
37
kuboresha takwimu na kuhakikisha waathirika wanapata huduma za afya bila hofu ya hatua za kisheria.
1
18
KUONDOLEWA KWA VIUATILIFU HATARISHI KATIKA S O K O LA TANZANIA
3
104
Wataalamu wa TPHPA wamekutana Dodoma Oktoba 27, 2025 kujadili matokeo ya utafiti wa Mradi wa “Pesticide Poisoning and Suicide” unaochunguza matumizi ya viuatilifu vinavyotumika kujiua. Lengo ni kubaini athari, kuimarisha udhibiti na kuongeza elimu kwa jamii kuhusu matumizi salama
54
TPHPA inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mkurugenzi Mkuu wetu, Prof. Joseph Ndunguru Uongozi wako wa maono umeendelea kuimarisha ubora na weledi katika kulinda afya ya mimea nchini. Tunakutakia maisha marefu na mafanikio tele
33
Dodoma, Oktoba 23, 2025 – Mchakato wa kuandaa muongozo wa usimamizi wa vifungashio vya viuatilifu vilivyotumika, ulioandaliwa na TPHPA, umekamilika baada ya upokeaji wa maoni ya wataalamu kutoka taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali.
1
1
38
rasimu ya muongozo huo imekamilika na hatua inayofuata ni kuikabidhi kwa TPHPA ili kupitia taratibu nyingine za kitaasisi, ikiwa ni pamoja na mapitio ya kitaalamu na maandalizi ya utekelezaji rasmi.
20
Dodoma, Okt 20, 2025 – TPHPA imewakutanisha wataalamu zaidi ya 25 kutoka taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali kujadili uandaaji wa muongozo wa usimamizi wa vifungashio vya viuatilifu vilivyotumika ili kulinda afya ya binadamu na mazingira.
3
60
Picha za matukio: Kikao cha 70 cha Baraza la Mawaziri wa DLCO-EA kikiendelea Addis Ababa, Ethiopia (16–17 Okt 2025). Kikao kinaongozwa na Prof. Joseph Ndunguru (TPHPA) akimwakilisha Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe. Bw. Nyasebwa Chimagu (TOSCI) naye yupo.
1
65
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, amepongeza TPHPA kwa juhudi kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula nchini leo Oktoba 16, 2025, alipotembelea banda la Mamlaka hiyo wakati akihitimisha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani 2025, jijini Tanga.
34
Mamlaka inaendelea kutoa elimu kwa wananchi katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika Usagara, Tanga kuanzia tarehe 10 hadi 16 Oktoba 2025. Elimu inahusu matumizi sahihi ya viuatilifu, usalama wa chakula, na uhifadhi bora wa mazao kwa afya ya walaji.
2
32
Mei 22,2025 TPHPA yakabiliana na mlipuko wa kweleakwelea Mvomero na Kilosa, Morogoro. Operesheni za pamoja na DLCO-EA zasadia kuokoa mashamba ya mpunga na kulinda usalama wa chakula.
2
141
Mei 23,2025 Wataalamu wa Maabara na Mimea wa TPHPA wamechukua sampuli za maji na gugu maji Ziwa Victoria - Mwanza kwa utafiti wa kina kuhusu athari zake kwa ikolojia, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulitokomeza kabisa gugu hilo hatarishi.
3
163