The Chanzo (@TheChanzo) header
The Chanzo (@TheChanzo) profile picture

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2020
Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)Photo by The Chanzo (@TheChanzo)
Sababu ya watoto, vijana kuwa na uzito uliozidi na kiribatumbo yaelezwa
126
'Sitaki mtu yeyote kuishi katika hali kama hii,' anasema Oleksandr Korniyenko ambaye ni Naibu Spika - Bunge la Ukraine. Mahojiano kamili>youtu.be/XKdvtXp1Mik?si=kvmZ…
4
17
657
Wanawake 300 wameshiriki kongamano la urasimishaji wa biashara Kigoma.
2
12
1,036
Hatujui miili iliyopotea ilizikwa wapi "Tukasikia maiti zimepotea. Niliona wahusika wanazika nguo, viatu. Kuna mengi ambayo hatuyajui: miili iliyopotea ikapelekwa wapi? Wengine wanasema ikazikwa kwenye makaburi ya jumla. Hatujui wako wapi," Mama Lutgard Kagaruki akizungumzia kumbukumbu yake ya Oktoba 29. Fuatilia kipindi kizima hapa>>>>youtu.be/8dHMHe3y9Os?si=CLzN…
48
128
2,883
Rais Samia: Tumekubaliana kuunganisha shoroba za Lobito na Dar es Salaam.
1
12
2,176
Wakili Massawe juu ya kumbukumbu ya Oktoba 29: Ukweli unatangulia "Yaani ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka. Mfano, majirani zetu hapa, Kenya, [mwaka 2007] walipata changamoto inayofanana na yetu. Na changamoto yao, nikuambie, huenda haikuwa na madhara makubwa kama ya kwetu. Wenzetu walipigana karibia miezi miwili, mitatu; ripoti zinasema ni watu mia nane mpaka elfu moja [waliouwawa]. Sisi, siku tatu, siku nne, watu 518. Tungekaa mwezi?" Fuatilia kipindi kizima>>>youtu.be/8dHMHe3y9Os?si=TZ-E…
36
105
3,514
Prof. Muhongo: Tozo hazijawahi kukuza uchumi.
12
87
8
474
16,674
Mwaka mmoja toka Oktoba 29: 'Bado kuna deni la ukweli na uwajibikaji' Angalia kipindi kizima hapa>>>>youtu.be/8dHMHe3y9Os?si=BLfo…
38
140
2,238
'Tumekuwa na machungu' Akizungumza katika kipindi cha Kivulini Talks, Mtetezi wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo Bisimba ameeleza moja ya jambo lililoongeza uchungu Oktoba 29, ni miili kutoonekana na kukosekana kwa hatua za kawaida za kutoa faraja. "Mimi ninachoona, nchini tumekuwa na machungu kwa sababu hakuna kilichofanyika. Wengine wameshakuwa walemavu, wengine ndugu zao hawajulikani walipo; inasemekana, sijui, wamezikwa vipi," analeza Mama Bisimba. Na kuongeza: "Hamna kitu kibaya kama unafiwa halafu hujaona mwili. Unajua, unapoenda kuzika, ukimwona mtu ameshakufa, mnamshusha kaburini, inatoa ahueni fulani. Sasa hamjamzika, hamjui yupo, hamjui hayupo; ile inazidisha maumivu. Kwa hiyo mimi, ninavyowaangalia hao watu, kwa kweli faraja yao kubwa ingekuwa ni kuonyeshwa [miili ya ndugu zao] na hata kufidiwa." Fuatilia kipindi kizima>>>youtu.be/8dHMHe3y9Os?si=Fq_s…
3
47
1
147
2,343
Baba Levo aishauri Serikali kuongeza viwango vya miamala kwa njia ya simu
1
19
2,186
Kivulini Talks: Mwaka Mmoja Toka Oktoba 29—'Bado Kuna Deni la Ukweli' youtu.be/8dHMHe3y9Os?si=bWkh…
2
5
626
Ado, ahoji juu Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi kwenye Mpango wa Maendeleo ya Taifa Ado alikuwa akichangia bungeni mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa mwaka wa Fedha 2027/2028
1
12
50
2,586
Wakulima wadogo Kigoma, wanufaika na mradi wa KiTiKi  kwenye soko la nafaka
3
11
740
Wananchi wa Bugabilo,Kigoma walia na uhaba wa maji
5
14
820