Makosa kubwa yenye nishawahi Fanya ni kumove in na msupa mnono in a single room.Lemme first remind you that wasichana wanono wakipenda wamependa.The first three days were just good juu nilikuwa na enjoy lower kabete time nataka.The fourth day nilianza kuboeka na yeye juu nyumba ni kadogo buana na nmepiga hiyo kitu mpaka pia imenibore siitaki tena,nyumba inanuka tu sperms.Nikaanza kumwona nguruwe mweupe buana juu alikuwa light skin, kwanza time anasimama uchi kuzima light arrrhg.Siku ya tano ilibidi nmemshow ukweli ,hatuwezi endelea kuishi pamoja we are still young,haikuwa rahisi kumconsole.After ameenda nikahama hiyo ploti ,nikadelete kila kitu yake.Kwanza alikuwa amewacha nguo zake for security ,nilichoma hizo tents buana.Since then Mimi na wasichana wanono tawe.Juzi nimepatana na video yake pale TikTok after 2 years amechange buana ni kama alipata wa kumpeleka gym.
Leo kama unaenda mechi away, beba padlock yako na msupa asijue, time anakuambia uende ufunge mlango ndio unaenda sasa na kufuli yako ulock.
Alafu ukue umelipa okoa, ndio ngori ikitokea unapiga simu harakaharaka, sio kuanza kutureverse na kutuma please call me na uko kwa hatari. Thank me later.
J.Barasa retweeted
Ile siku utawahi enda kutengenezewa gari upate mechanic ako na mwili inakaa ivi ujue umetoboa. Sitawafunza kila kitu
J.Barasa retweeted
Kuwa Dem sio Rahisi ,Unakuwa Invited for a dinner not Knowing pia uko kwa menu 🥲💔🚮
J.Barasa retweeted
"tunakuuliza Semester fall ni nini unasema mpaka unajua fourteen falls,panda ndege twende"
Hawa FAFSA boys ni wapi wanaezajificha hapa Kenya wasipatikane, mi naona ni kericho kwa hizi tea plantation, pale kuna very many casual workers wenye hukuja na kutoka na hata id si lazima Bora Tu wakikuangalia unakaa 18 unapewa manual job unaandika, such a good place to lay low.
J.Barasa retweeted
Kalonzo tunamrekebisha tu kidogo.
Ni kama when you threatened your mother to commit suicide after ulienda kucheza ukasahau kulisha Ng'ombe na akakunyima chakula
The she gives you a rope to hang yourself.
We love Kalonzo but must stay guided.
Sisi ni Sifuna.
J.Barasa retweeted
Kitu around 6 akapigia mimi simu akaniambia ametoka, nikatoka na kinyasa nikaenda kufanya evening run na nifanye Kegel exercise nifungue mishipa damu iflow msuri, nilirudi kwa nyumba kitu 8, kutulia hivi, simu ikaingia akaambia mimi amekaribia githurai, kabla amalise hio sentensi simu ilikatika, nikajaribu kupiga inasema mteja, kitu 10, nikajaribu tena, bado mteja, masaa sita hapo nikipita pale IG naona imepostiwa kwa page ya Quiver lounge kilimani akidance akitoa ulimi nje mikono akifanya ile dance ya kufanya kama unaendesha gari, in a very short black dress, nyuma yake ilikua vijana tatu na yote imekazia macho yao kwa saidong'i akidance......Eeeeei, Velma you did me very bad aki😞
J.Barasa retweeted
Friday za mwisho wa mwezi zinanikumbushanga mbali sana, Velma makena from karatina did me bad 2024, anytime nakumbuka story yake nataka nirudi huko nyuma ni-unmeet yeye bwana, the wound is still fresh... Friday moja masaa ya jioni nilitext kuconfirm kama anakuja, na akaambia mimi nisikue na pressure, anamaliza kitu atoke, nikatumia yeye 3k, mshwari walikukua wamepea mimi limit ya 5k, nikapitia kwa mama mwas nikakunywa uji power ya 450, nikapitia supermarket pia nikanunua tumaji tule twa chupa, njugu, asali, energy drink na kadhalika...
J.Barasa retweeted
My dad lost his battle with Alzheimer’s three years ago.
By the end, he didn’t recognize my face, my voice, or my name. I was just a polite stranger who sat by his bed, poured his tea, and held his hand while he stared out the window.
On his final morning, the room was completely still. His breathing had slowed down to long, shallow gaps. I was sitting beside him, holding his pale hand, just whispering, "It's okay to let go, Dad. You can rest now."
Suddenly, his eyes opened wide. The vacant, hazy film that had covered them for years was completely gone. He looked straight into my eyes—clear, focused, and present.
He gripped my hand tight with a strength he hadn’t had in months, smiled gently, and whispered:
J.Barasa retweeted
Leo nikitokea gym I passed by hotel YA beshte yangu tulikuwa naye campus to promote him pia, the first thing he told me ni " usijaribu kuoa mapema mzee " . Na venye nlikua Na admire their relationship like getting one girl Na kutulia mfocus, . Kwani Kwa kina ndoa kukoje?
J.Barasa retweeted
Tugizianeni wakuu. Kuna kitu inaniambia Leo naweza fikisha 2M.
Niko sawa ama nizime hii kitu



























