
“Hip-hop head. No cap, just context.” @dizastavina
never broke again estate
Joined March 2024
- Tweets6.2K
- Following343
- Followers1.2K
- Likes6K
Pinned Tweet
Kuna Demu mmoja hivi alikuja Geto Jana, tulivo maliza Kufanya utaratibu Wote, Ghafla Demu akauliza kwanini unaazima Geto la Watu? Mimi kivipi ? Kwani Geto la nani?. Manzi uyo kwenye picha ukutani ni nani?. Nacheki ukutani Kumbe kaona picha ya Dizasta vina 😂😂😂😂
BIG MEECH🦅 retweeted
Tumezika Picha youtu.be/_95d_3UxM6U?is=Qz95… via @YouTube
BIG MEECH🦅 retweeted
Humu ndani Rapcha hajaandika tu nyimbo Kali, aandika waraka wa ufunuo Wa akili Na Imani ya kwamba Kesho itakuwa vema Zaidi ya Leo.
Ile chart ya Kwanza Dreams to Reality 1 imejaa madini mengi Sana.
Mwezi Huu Wa uelewa Wa Afya ya akili tuitumie hii albam kama njia ya kujifunza.
BIG MEECH🦅 retweeted
HipHop Friday Who is in?
1. Kaa la Moto- Mzizima Na Mombasa
2. Daz Nundaz - Kamanda
3. Crazy GK - Tutakukumbuka Daima mile
4. Dizasta Vina - Kifo
5. One - Kesho Yetu
6. Rose Lee- Sauti za maskini
7. Fid Q - Propaganda
8. Kaa la moto - Asali Chungu
Special list #Oct29
BIG MEECH🦅 retweeted
Happy father's day
dizastavina.com/2025/10/20/w…
BIG MEECH🦅 retweeted
youtu.be/8DrXyU_FJeQ?si=01pM… – at Dar es Salaam, Tanzania
BIG MEECH🦅 retweeted
Walipo wao ujinga upo kando yao wanashare, uwezo wangu unawaconfuse wanakuja double wanakuta nishajidouble wananywea
#Dizastavina #tukusa #Hiphop
Walipo wao ujinga upo kando yao wanashare, uwezo wangu unawaconfuse wanakuja double wanakuta nishajidouble wananywea
#Dizastavina #tukusa #Hiphop
BIG MEECH🦅 retweeted
Nakukaribisha Watengwa Gear Kupata chata lako Kali la Watengwa na Album ya Full Ile Baraka kwa njia yeyote rahisi kwako,iwe kwa flash, WhatsApp ama email.
Chata zote za Watengwa zipo kwa Bei rafiki na zinatumwa popote pale duniani.
0714003337
Full Ile Baraka 👊🏿👊🏿
#WatengwaWTC
BIG MEECH🦅 retweeted
Bwana Edgar @dizastavina ifike muda utoke hadharani uje utuondolee utata kwenye ile ngoma ya MWANAJUA, ni nini kilikua kinaongelewa mle au nani alikua anazungumziwa mle??🤔🤔



















