π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo) header
π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo) profile picture

Father | Husband | Entrepreneur | Mentor | CEO – Mkombozi Clothing | Former Student President – Kifanya Sec.

𝗔𝗙π—₯π—œπ—–π—”, π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—”
Joined July 2018
Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)Photo by π— π—žπ—’π— π—•π—’π—­π—œ (@TwevePauLo)
Watu wana hadithi nzuri sana kukuhusu wewe isivyo bahati wanasubiri umauti wako ili waiambie jamii ulikuwa mwema kiasi gani.
2
6
33
820
Sio kila utakayeishi nae vizuri ataishi na wewe vizuri.
3
2
20
391
Binadamu hawana kumbukumbu ila MUNGU ana kumbukumbu, usiache kuwa mwema sababu ya binadamu wabaya.
6
18
489
Watu tuliowapenda wanakujaga kutupenda kipindi tumepata wanaotupenda.
6
22
115
1,786
Wapo watu wanakuchukia si kwa sababu umewafanyia makosa, bali ni kwa sababu umefanya makubwa kuliko wao.
3
7
13
457
Kuna watu furaha yao inategemea matatizo yako.
9
9
31
1,039
Msaada sio deni, endapo utapata changamoto usijipe kipaumbele cha kusaidiwa kwa mtu uliyewahi kumsaidia.
3
9
33
879
Kuna wakati unapaswa kuizuia tamaa hata kama una uwezo wa kumiliki unachokitamani.
4
11
80
1,450
Ubinafsi, wivu na chuki ndivyo vimefanya tupoteze watu ambao ni msaada katika kuyafikia mafanikio yetu.
5
22
68
1,097
Mawazo yaliyopitiliza yanasababisha uone kila jambo linafaa kufanikiwa wakati huo huo.
5
13
52
1,013
Kusema kweli, hakuna jambo gumu kama β€œ ku move on” kama ulipenda kweli!
9
17
109
2,351
Kuna siku itaanza bila wewe, punguza majivuno.
17
38
1
153
2,458
Kariakoo joto limezidi mpaka feni zinapuliza joto badala ya baridi. πŸ₯΅
1
2
402
Usikate tamaa leo inaweza kuwa ngumu, lakini kesho ina nafasi mpya za kushinda.
1
494
Tunaishi mara moja, jitahidi kufurahia nafasi uliyoipata.
1
5
21
757
Inaumiza sana kuona bado kuna baadhi ya familia zetu zinaamini kwamba mtoto akifanikiwa zaidi ya kiwango wanachokitarajia wao ni mchawi au anahusishwa na imani za kishirikina.
1
437