Pinned Tweet
Your rizq is written.
No one can take what's meant for you.
Not a single blessing will pass you by.
Your rizq, your opportunities, and your provisions are already written.
Stress less.
What is yours will come at the right time.
Usiruhusu mambo yaliyo nje ya uwezo wako yawe sababu ya kupoteza kile ulichonacho tayari.
Good morning watu wa Mungu ✨️
it's__me🤍💫 retweeted
Kwa muda mrefu sasa maisha ya Pascal Mayalla yamekuwa kitandani kufuatia ajali aliyopata huko Zanzibar na kuvunjika mguu. Aliwekewa chuma lakini kimekatika na kutengeneza jeraha jipya kwa ndani. Pascal yupo kwenye hatari ya kupata saratani ya mfupa. Lakini tuna nafasi ya kumsaidia Pascal aweze kusimama tena. M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
it's__me🤍💫 retweeted
Wakuu, naomba tulibebe hili, tunaliweza, Natanguliza shukrani 🙏🏼
Tushare kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki

Kila mtu anae rafiki yake wanaitana majina ya ajabu 😆😆😆🤣🤣 me mwenzenu kuitwa kibuyu nisha zoea.. au kuitwa chizi hizo sio shida zetu afu tunaweza kaa hata miezi 3 hakuna anae mtafuta mwezake na wala hatulaumiani wala nini.. urafiki wetu tokea darasa la 5😁😁🙌🙌.
Wakati mwingine, maisha unayoyaombea huanza na uamuzi mmoja:
kuweka mipaka, kujijali wewe mwenyewe, na kukataa kuendelea kuvumilia mambo yanayokunyima amani yako.
Ziambie shida zako zote kwamba, kuna Allah.
Yeye anatosha kuzitatua na kukupa amani.
Daima atakutafutia njia ya kutokea.
Acha kutenga nafasi kwa ajili ya watu wanaokukumbuka tu pale chaguzi zao nyingine zinapokosekana.✍️🏿
Ufahamu mzuri ni kujua tofauti kati ya watu wanaounga mkono safari yako na wale wanaofuatilia hatua zako.
❝Kama mngemtegemea Allah ipasavyo, bila shaka angewaruzuku kama anavyowaruzuku ndege; hutoka asubuhi wakiwa na njaa na kurudi jioni wakiwa wameshiba.❞
Mtume Muhammad ﷺ (Jami’ at-Tirmidhi 2344, Sunan Ibn Majah 4164)
Baadhi ya watu hawataki kukuona ukishinda; wanataka tu kuona kama utashinda.
Good morning watu wa Mungu ✨️
Siku moja, utaelewa kwa nini mambo fulani hayakufanikiwa,
kwa nini baadhi ya watu waliondoka, na kwa nini Mwenyezi Mungu alikufanya usubiri.
Amini wakati Wake, Mwenyezi Mungu atuongoze, aongeze nguvu katika imani yetu, na atupe kile kilicho bora kwetu. Amina. 🤲🤍
Usikeshe usiku kwa sababu ya maadui zako.
Mwenyezi Mungu atashughulika nao na kuwapa stahiki yao kwa kusababisha maumivu hayo yote.
Kuwa na imani kwamba mambo yatakuwa sawa na utatoka katika hali hiyo ukiwa bora zaidi kuliko ulivyokuwa hapo awali.
Hakuna maumivu yanayoua, lakini kuna maumivu yanayokufanya uendelee kuishi huku ukiwa tofauti kabisa na jinsi ulivyokuwa hapo awali.
Tatizo si siku; tatizo ni matumaini makubwa mno tunayoweka kwa watu ambao hawastahili hata sekunde moja ya muda wetu.✍️🏿
it's__me🤍💫 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi