Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe) header
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe) profile picture

Dentist. Healthy smiles start here 🦷, Walk in , Book your appointment Today πŸ“ž+255658950085

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)Photo by Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe)
Mtu mzima ana meno 32 mtoto 20.. ukichukua hayo meno 32 yaliyotoboka tunaziba yenye ugaga tunasafisha , yanayouma sana tunaondoa uhai, yenye mapengo tunaweka ya bandia. Unakuwa mtu mwenye Afya Kinywa Na Meno 🦷 SMILECURE Karibuni sana Before πŸ‘‡ After πŸ˜πŸ‘‡ – at Dar es Salaam, Tanzania
87
106
2
540
76,344
Luis Enrique, Fabian HΓΌrzeler, Julian Nagelsmann, Antonio Conte Pamoja na Carlo Ancelotti mmoja wao anatakiwa kurithi mikoba ya Xabi Alonso pale Chelsea
3
145
Mbagala - Mafinga Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1
137
Ohoo umri unaenda wenzako wadogo wamejenga , na wewe unatakiwa ujenge ....yani mimi niache kula nikanunue mchanga ..!? πŸ˜‚πŸ˜‚
1
148
Mbeya City Council Football club ( wana koma kumwanya ) 2013/14 ilinigombanisha sana na wazazi ilifika kipindi mzee akaninunulia Radio niwe natembea nayo shambani...Umemewakumbuka wachezaji gani!?.
57
Kule TikTok Kila baada ya Scroll mbili unakutana na video za Uhuru Muigai Kenyatta πŸ™Œ
199
Kuna bro mmoja humu alipost kuwa anahitaji mbuzi wa nyama Dume kuanzia 200/= kwa wiki namtafuta
2
1
11
360
Achraf Hakimi ni Rasmi sasa amefika level Sawa na Cafu, Carvajal, Reece James , Philip Lahm na Dani Alves...!? Kama RB bora kabisa waliowahi kutokea kwenye Kizazi cha Soka!.
285
Kuna NSSF/PSSF + PAYE+HESLB +TAX + House Rent + Wi-Fi +Transport cost +Food and recreation + Family + Relatives + Girlfriend ( mngoni, Mchaga, Mpare, au mrangi ) Lazima ukute mtu anatembea anaongea mwenyewe...ongeza kingine hapo ..!πŸ˜‚πŸ˜‚
1
141
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. retweeted
Kupoteza jino hakumaanishi kuacha kucheka kwa furaha. Teknolojia ya kisasa ya meno bandia ya kudumu inakurudishia sura yako ya asili na uwezo kamili wa kutafuna, Kujiamini na Kulinda meno mengine yasiharibike πŸ“Dar es salaam , Pwani Weka miadi yako πŸ“ž 0658 950 085 πŸ¦·βœ…οΈ – at Pwani, Tanzania
3
2
708
Wateja wako watakuamini zaidi sababu ya kazi unafanya au uliwahi kufanya vizuri na kufanikiwa , kuliko story za kwamba hii kazi naiweza ...Ukitaka kujua kuwa huaminiki,Utaulizwa Kwani office zenu ziko wapi ?, mbona bei sana?, nitakuletea wateja wengi ( wewe ni beginner),
116
Sema mtibwa Sugar FC hawaji kuwa na timu bora kuzidi ile ya 2016 ilikuwa ya moto sana ( Kichuya, Mzamiru, Mo Ibrahim, Javu, Bahanuzi, Baba Ubaya , Kasiani Ponela,Kusi , Dickson Daudi , Salim mbonde bila kumsahau mkongwe Joseph Shindika...walikamilka kila idara πŸ™Œ
51
Kupoteza jino hakumaanishi kuacha kucheka kwa furaha. Teknolojia ya kisasa ya meno bandia ya kudumu inakurudishia sura yako ya asili na uwezo kamili wa kutafuna, Kujiamini na Kulinda meno mengine yasiharibike πŸ“Dar es salaam , Pwani Weka miadi yako πŸ“ž 0658 950 085 πŸ¦·βœ…οΈ – at Pwani, Tanzania
3
2
708
It is not just about teeth. it's about health, functions and Dignity . Book your first ever dental experience with usπŸ¦·βœ…οΈ πŸ“Dar es salaam Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ž+255 658 950 085
95
Tabia yako ya kula Restaurant moja kila siku mpaka umefikia hatua ya kuletewa chakula offisini , kuna siku utaishi na mtu ambaye hukutarajia, utasomesha watoto wasio wako, utajenga mahali pasipo kwako kuna siku utavunja ndoa yako , Hii tabia imegharimu maisha ya watu wengi!.
130
Kipindi cha pili toa Henderson weka Estevao
5
192
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. retweeted
74
103
7
980
39,522
Sababu moja inayomfanya mwanaume abaki na mwanamke ni submission na unyenyekevu na,sio utiii hata maandiko matakatifu yanasema hivyo !.
2
12
471
"Kabla ya Kuutaka Ushindi Dhidi ya Wengine, Jifunze kuishinda Tamaa, Hasira na Udhaifu wako. Hapo Ndipo Shujaa Huzaliwa"
2
18
469
Njia bora zaidi ya kuzuia maumivu ya meno, matundu (kutu) kwenye meno, maumivu na kuvuja damu kwa fizi, na hata harufu mbaya mdomoni Ni kusafisha meno mara kwa mara na kwa usahihi kila siku (pamoja na kupiga mswaki na kutumia uzi wa kusafishia meno - flossing) SRP
2
2
280
Umeme ni mbezi makabe tu au Tanzania nzima..!?
1
4
583