
Ofisi ya Rais, Sekretarieti Ya Ajira katika Utumishi wa Umma Eneo la Tambukareli S.L.P 2320 Dodoma Simu: 255 (026) 2963652 Email: [email protected]
Dodoma, Tanzania
Joined October 2018
- Tweets1.8K
- Following14
- Followers21.8K
- Likes31
Karibu upate taarifa mbalimbali kuhusu Sekretarieti ya Ajira kupitia Ajira Magazine, kupakua jarida hili bofya link hii hapa
ajira.go.tz/articles
6
838
Pichani, wasailiwa wa kada ya Sayansi ya Chakula wakiendelea kuonesha ujuzi, ubunifu na umahiri wao katika maandalizi ya vyakula, kama sehemu ya usaili wa vitendo.
Mapishi ni mchanganyiko wa sayansi na sanaa, ladha ni ubunifu, na ubora ni matokeo ya umahiri!
Jeshi la Zimamoto limeendesha mafunzo ya utayari na kukabiliana na majanga ya moto kwa watumishi wa Sekretarieti ya Ajira, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usalama mahali pa kazi na kuongeza uwezo wa watumishi kukabiliana na dharura za moto.
8
1,130
Wasailiwa mbalimbali wakiendelea kushiriki katika usaili wa vitendo unaondeshwa na Sekretarieti ya Ajira, usaili huu unalenga kupima uwezo, ujuzi, umahiri na utayari wa wasailiwa katika kutekeleza majukumu ya nafasi walizoziomba.
13
1,475
Wasailiwa mbalimbali wakifanya usaili wa vitendo katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) uliosimamiwa na Sekretarieti ya Ajira ili kupata wataalamu watakaoajiriwa na shirika hilo la utangazaji nchini.
Makamu Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Ajira Kamishna Mstaafu Said Kamugisha na Mjumbe Bernadetha Ndunguru wakisikiliza na kupokea hoja na maswali mbalimbali kutoka kwa wasailiwa wa kada mbalimbali uliofanyika katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Makamu Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Ajira Kamishna Said Kamugisha na Mjumbe Bernadetha Ndunguru wametembelea kituo cha Usaili katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kujionea namna mchakato wa ajira unavyotekelezwa.
1
17
2,334
Je dhana ya haki uwazi na usawa bila upendeleo inatekelezwaje na Sekretarieti ya Ajira, hususani katika usaili wa mahojiano, wajumbe wa jopo la usaili wanapatikanaje?
Naibu Katibu na Mkuu wa Idara ya Menejimenti ya Ajira, Sekretarieti ya Ajira Bi. Somwana Manjenga anafafanua.
2
8
1,457
Je wajua kuwa unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya Ajira Portal na kupata huduma zote ikiwemo kuomba nafasi za ajira kupitia simu yako kwa kutumia Ajira Portal App.
Aidha unaweza kupata taarifa za ajira pia kwa kupiga *152*00# kisha nenda namba 9 kisha bonyeza namba 1
1
6
1,339
Naibu Katibu anayesimamia Idara ya Menejimenti ya Ajira, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bibi.Somwana Manjenga amesema kuwa taasisi hiyo itaanza kuweka wazi matokeo ya usaili wa mahojiano (Oral Interview) hivi karibuni.
Naibu Katibu anayesimamia Idara ya Menejimenti ya Ajira katika Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bi. Somwana Manjenga amesema kuwa hivi karibuni Sekretarieti ya Ajira itaanza kuweka wazi matokeo ya Usaili wa Mahojiano (Oral Interview).
1
16
1,526
Naibu Katibu - Idara ya Menejimenti ya Ajira katika Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bi. Somwana Manjenga amesema ili kuepusha udanganyifu wa vyeti Sekretarieti ya Ajira imechukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mifumo inasomana.
Mwenyekiti Sekretarieti ya Ajira asisitiza wasailiwa kutendewa haki
Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bibi.Sophia Kaduma amewataka wataalamu mbalimbali wanaoshirikiana na taasisi hiyo kuzingatia sheria,kanuni na taratibu katika kusimamia zoezi la usaili
Jumatano hii tarehe 20 Mei 2026 usikose kutazama kipindi cha Morning Trumpet cha UTV ya Azam TV kuanzia Saa 2:00 Asubuhi kupata elimu na majibu ya hoja na changamoto mbalimbali kuhusu mchakato wa ajira.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI Tembelea ajira.go.tz kuona kurasa zingine zaidi za tangazo hili














































