Leonard Akwilapo retweeted
Ufahamu Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.
#KaziIendelee
Leonard Akwilapo retweeted
Hongera kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Nawatakia kila la kheri katika michezo iliyosalia kwenye mashindano haya. Endeleeni kutupa burudani na kufanya kazi njema ya kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa.
Leonard Akwilapo retweeted
Hongera kwa Klabu ya Simba kwa ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya CS Sfaxien.
Mmewapa mashabiki na Watanzania wote kwa ujumla burudani na furaha. Endeleeni kuweka juhudi na kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa, mkitumia mazingira bora ya kufanya vyema kwenye michezo tunayoendelea kuyaboresha siku baada ya siku.
Ninawatakia kila la kheri katika michezo iliyosalia.
Leonard Akwilapo retweeted
Hongera kwa Klabu ya Simba kwa kufuzu kuingia Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Endeleeni kufanya kazi kuipa nchi yetu burudani na kuipeperusha bendera yetu kimataifa.
Ninawatakia kila la kheri.
Leonard Akwilapo retweeted
Asante kwa wapiganaji watu kumpigania
nitter.cf/i/trending/18785392101…
Leonard Akwilapo retweeted
Repost from @samia_
•
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League). Mnaendelea kuleta furaha kwa Watanzania huku mkilitangaza vyema jina la nchi yetu kimataifa.
Ninawatakia kila la kheri.
Leonard Akwilapo retweeted
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League). Mnaendelea kuleta furaha kwa Watanzania huku mkilitangaza vyema jina la nchi yetu kimataifa.
Ninawatakia kila la kheri.
Leonard Akwilapo retweeted
Kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo nimefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini na kisha kuzungumza na Wananchi.
Skuli hii ni moja ya vielelezo vya kazi kubwa inayoendelea kufanyika ya kuwaletea wananchi maendeleo katika kila sekta nchini. Matokeo ya kazi hizi kwenye maisha ya wananchi ndio hasa matunda ya Mapinduzi na Uhuru wetu.
Heri ya mwaka mpya 2025, tuendelee kushirikiana kuimarisha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia ili kuboresha elimu yetu. Kwa pamoja tutafanikiwa.
Leonard Akwilapo retweeted
Dear 2025, I wanna be kind, considerate, wise, just, grateful, and, and. So help me God!
Leonard Akwilapo retweeted
“LEO DISEMBA 31, 2024 MWISHO MATUMIZI YA KUNI NA MKAA KWA TAASISI ZA UMMA”- MAJALIWA.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni kwenye shughuli za Mapishi.
Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa ametoa kauli hiyo mapema Leo Jumanne Disemba 31, 2024 wakati akihutubia wananchi kwenye Tamasha la Azimio la Kizimkazi 2024, linalofanyika kwa mara ya pili Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni mara baada ya kuzinduliwa kwake mapema mwaka huu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kizimkazi Visiwani Zanzibar.
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @IkuluMawasiliano
Leonard Akwilapo retweeted
Nakupongeza Askofu Mkuu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali. Naungana na Watanzania wote kukutakia kheri na kukusindikiza katika sala, unapoendelea na kazi yako ya utume katika hatua hii mpya.
Mwenyezi Mungu ambaye amekuinua kwa baraka na jukumu hili kwenye wito wako, aendelee kukuongoza katika kulitumikia Kanisa na jamii yetu kwa ujumla.













































