ALLY MSANGI (@ally_eh) header
ALLY MSANGI (@ally_eh) profile picture

Creator Economy Educator | Helping Solopreneurs Build Online Businesses. Sharing my thoughts & discussing my projects. Email: [email protected]

My community 🡇
Joined September 2009
Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)Photo by ALLY MSANGI (@ally_eh)
Join my WhatsApp Channel allymsangi.com/Whatsappchann…
1
1
7
2,120
Unless I want to see you. You will never see me.
1
2
7
519
ALLY MSANGI retweeted
Wait, what happened to the X creator payments? 😂 Before the rules changed, people were posting screenshots like it was payday at the bank. Now? Silence. Even the payment notifications have gone underground. Did the money reduce, the eligibility rules bite, or have we collectively agreed to protect our peace? 😂 Someone give us the minutes of that meeting, I want to see something! 👀
21
20
1
103
16,925
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi 🙏🏽✝️
32
207
3
1,008
15,980
ALLY MSANGI retweeted
Watu mliojiajiri siku moja moja pumzikeni, funga biashara Lala, there is more about life kuliko kufanya kazi kila siku.
59
62
23
838
31,470
ALLY MSANGI retweeted
Ni kama dunia ina reward watu ambao morally tunaona wakosefu 😀
48
46
19
485
24,243
ALLY MSANGI retweeted
Viongozi wa Tanzania, tujifunze kuwa na kiasi na kutosheka wakuu, mnakula mnoo aisee.
68
121
16
916
25,901
ALLY MSANGI retweeted
Kupenda nchi yetu ✅ Kupenda petty issues ✅ Kupenda mabadiliko halisi kama jamii ❌
Deep down watanzania tunapenda na tunaipenda sana nchi yetu. They say “love conquers everything”, labda tuwekeze kwenye upendo tutafika.
19
54
3
359
15,384
ALLY MSANGI retweeted
Solidarity kwa wabongo ni kwenye petty issues tuu.
51
99
18
624
26,236
We were put on this earth for a purpose. We will face hardship, calamities, and tests. And how we treat one another is part of that test.
2
13
658
Sababu ya wewe kuwa maskini ni kwamba wewe ni mtu mwema. Kila siku unajiuliza: “Nitoe huduma gani bora?” “Nitatue tatizo gani la mteja?” Wenzako wanajiuliza: “Nichukueje pesa za watu bila kuishia jela?” Wewe unaboresha bidhaa. Wao wanaboresha uongo. Halafu wakipata pesa, tunawaita wajasiriamali wenye maono. Tunawapa tuzo. Tunawaleta watufundishe mafanikio. Wakikamatwa, tunasema tulijua tangu mwanzo. Lakini mwenye kipato kidogo na uaminifu wake ndiye tunauliza, “Mbona hujajiongeza?”
1
7
30
1,686
Learning how to give people what they want, to get what you need. Sometimes, the things that get people to give you what you want is not Alot.
1
5
9
656
Wakati Wengine Wanapigania Wateja, wewe Tafuta wateja ambao hawapiganiwi. W. Chan Kim na Renée Mauborgne katika kitabu chao Blue Ocean Strategy walieleza kwamba, badala ya biashara zote kupigania wateja wale wale kwenye soko lile lile, unaweza kutengeneza nafasi mpya kwa kutoa kitu tofauti chenye thamani kwa kundi fulani la watu. Kwa mfano... Ukienda kwenye eneo ambalo kuna saluni 50 zinazotoa huduma zinazofanana, halafu na wewe ukafungua saluni ya 51 bila kuwa na tofauti yoyote, utalazimika kupigania wateja wale wale. Utashusha bei, utaongeza matangazo na utatumia nguvu nyingi kujaribu kuwashinda wengine. Lakini ukagundua kuna kundi la wanawake wanaofanya kazi mpaka jioni na hawapati saluni zinazofanya kazi muda wanaohitaji, ukaanzisha huduma inayowalenga wao pekee, tayari umeanza kuangalia soko kwa jicho tofauti. Hujashinda kwa sababu umefanya kile ambacho wengine wanafanya vizuri zaidi. Umeshinda kwa kutatua tatizo ambalo wengine hawakuliona. Hii sio biashara pekee. Hata kwenye maisha unaweza kujikuta unapigania nafasi ambayo watu wengi wanaitaka, wakati kuna nafasi nyingine ambayo hakuna anayefikiria kuiangalia. Watu wote wanataka kuwa maarufu. Unaweza kuwa bora kwa kuwa USEFUL. Watu wote wanataka kuuza bidhaa nyingi. Unaweza kujenga biashara inayotatua tatizo moja vizuri sana. Watu wote wanataka kufuata trend. Unaweza kugundua mahitaji ambayo bado hayajawa trend. Kabla hujauliza, “Nitawashindaje?” jiulize swali jingine muhimu zaidi... “Kwa nini nilazimike kushindana nao?” Inawezekana kabisa usihitaji kushinda kwenye mchezo wao. Unahitaji kutengeneza mchezo ambao unaendana na uwezo wako na mahitaji ambayo wengine hawaja yazingatia. Kumbuka hili... Ukiingia kwenye bahari ambayo kila mtu anavua, usishangae kuona samaki wamepungua. Wakati mwingine suluhisho sio kuwa mvuvi bora zaidi. Ni kutafuta bahari nyingine.
1
7
1
24
1,756
ALLY MSANGI retweeted
Biashara yako inaweza kuwa nzuri. Lakini kama watu hawajui ipo, nani atanunua? Watu wengi wakifikiria kupata attention online, wanafikiria Ads. Lakini Ads si njia pekee. FREE PR, NO ADS ni ebook inayokufundisha namna ya kutengeneza attention na visibility bila kutegemea matangazo ya kulipia pekee. ✅ Jenga visibility ✅ Tengeneza attention ✅ Jifunze kutumia PR ✅ Fanya watu wajue unachofanya Ebook hii ni TSh 14,900/- tu. Bonyeza link hapa chini uone kilichomo ndani. Soma zaidi: allymsangi.com/free-pr-no-ad…
🤖 Made with AI
1
6
12
594
Hongera sana mheshimiwa.
Nawashukuru sana Sekta ya Habari kwa ushirikiano wenu mkubwa nikiwa Mbunge, nikiwa Brussels nchini Ubelgiji na sasa nikiwa naanza majukumu mapya Arumeru, Arusha. Nawakaribisha sana #Arumeru 🙏🏽 #DCArumeru #ArumeruKimataifa
1
675
Biashara yako inaweza kuwa nzuri. Lakini kama watu hawajui ipo, nani atanunua? Watu wengi wakifikiria kupata attention online, wanafikiria Ads. Lakini Ads si njia pekee. FREE PR, NO ADS ni ebook inayokufundisha namna ya kutengeneza attention na visibility bila kutegemea matangazo ya kulipia pekee. ✅ Jenga visibility ✅ Tengeneza attention ✅ Jifunze kutumia PR ✅ Fanya watu wajue unachofanya Ebook hii ni TSh 14,900/- tu. Bonyeza link hapa chini uone kilichomo ndani. Soma zaidi: allymsangi.com/free-pr-no-ad…
🤖 Made with AI
1
6
12
594
Wakati mwingine tunachohitaji si kuomba matatizo yapungue, bali kuomba uwezo wetu wa kuyakabili uongezeke. Mazingira yanaweza yasibadilike mara moja. Changamoto zinaweza kubaki. Lakini wewe unaweza kubadilika. Omba hekima zaidi. Omba ujasiri zaidi. Omba nguvu zaidi. Omba uwezo wa kufanya kile unachopaswa kufanya. Hili ni somo zuri hata kwenye biashara na maisha: usiombe njia iwe rahisi tu, jenga uwezo wa kutembea kwenye njia ngumu.
2
6
22
819
Ligi zimepumzika, lakini mpira unaendelea. Sasa ni zamu ya mataifa. Pride ya nchi, ushindani mpya na burudani tofauti. Taifa stars ipo uwanjani pia. Angalia ratiba ya leo kwenye poster, chagua mechi zako na furahia soka. Deposit kupitia ROMANO PAY Visit: romanopay.com #MechiKalizaLeo
1
5
391
ALLY MSANGI retweeted
Mungu alipoumba mwanaume aliumba kwa mfano wake yaani Mfalme, akaona atukeep busy with Women.
Men with good intentions are boring as f*ck!!
1
8
1
83
5,488
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na LENGO na kuwa na NDOTO. Lengo linaweza kuwa... “Natamani nipate Tsh 1M kwa mwezi.” Lakini ndoto kubwa inakufanya ujiulize.. “Kwa nini niishie hapo?” Tatizo si kwamba huna malengo. Tatizo linaweza kuwa umezoea kuweka malengo ambayo haya kulazimishi kukua. Unaweka target ambayo unaijua kabisa unaweza kuifikia kwa uwezo ulionao sasa. Unaifikia hilo lengo... Unafurahi kidogo. Halafu unarudi pale pale ulipokuwa. Kama unataka maisha yako yabadilike kwa kiwango kikubwa, anza kuweka malengo ambayo yana kulazimisha kujifunza zaidi, kufanya zaidi, kufikiria tofauti na kuwa mtu bora kuliko ulivyo leo. Usiogope kusema... “Lengo hili ni kubwa sana.” Labda hilo ndilo lengo unalohitaji. Kwa sababu lengo zuri si lile linalokufanya ujisikie comfortable. Ni lile linalokufanya uanze kujiuliza... “Nitahitaji kuwa mtu wa aina gani ili nifike hapa?” Hii ndio itakupa growth nzuri. Usipunguze ndoto zako ili zilingane na uwezo wako wa leo. Panua ndoto, kisha jenga uwezo unaohitajika kuufikia. Anza leo. Maisha yako ya miaka mitano ijayo yanaweza kuamuliwa na kiwango cha malengo unayothubutu kuyaweka leo.
1
4
21
715
Watu wengi wanaamini AI inaweza kuwafundisha kila kitu. Lakini kuna kitu muhimu wanaacha... AI ina information. Haina experience. Inaweza kukuambia jinsi ya kutengeneza Digital Product, kukuandikia content, kukupa YouTube strategy au kukuonyesha jinsi ya kuanza freelancing. Lakini AI haijawahi kujaribu idea ikafeli. Haijawahi kutengeneza content isifanye vizuri, kisha ikabadilisha strategy. Haijawahi kuuza product, kukosa wateja, kurekebisha offer, halafu ikaanza kupata sales. Hiyo ndiyo tofauti ya maarifa na experience. Mimi natumia na kufundisha AI, lakini ninachowafundisha watu hakitokani na AI pekee. Kinachanganya miaka yangu ya kufanya kazi mtandaoni, vitu nilivyojaribu, makosa niliyofanya, kilichofanya kazi na kile ambacho hakikufanya kazi. AI inaweza kukufundisha theory. Experience inakufundisha nini kinafanya kazi kwenye uhalisia. Ndiyo maana hata katika zama za AI, kujifunza kutoka kwa mtu ambaye tayari amepitia hiyo njia bado kuna thamani kubwa sana.
1
7
1
20
913