Dr Philbert retweeted
“”Know, first, who you are, and then adorn yourself accordingly…””
—Epictetus—
📸 Web
Dr Philbert retweeted
“”The rose and the thorn, and sorrow and gladness are linked together..””
—Saadi—
📸 Web
Huwezi kulazimisha vitu viwili: upendo wa kweli na urafiki wa kweli. Vyote viwili huja vyenyewe, kwa wakati wake na kwa watu sahihi.
Dr Philbert retweeted
A Season, Not a Sentence!
Life unfolds in stages, and every stage carries a purpose. When you are in a season of preparation and training, your current condition is never your final destination--it is simply the classroom for your future.
Whatever trials or difficulties you face today are serving a temporary purpose. They are refining your character. Remember Joseph: the dry pit was a real stage in his journey, but it was not his permanent home. When he reached the throne, the pit was behind him.
Be encouraged in your season of preparation. Stay patient, stay faithful, and trust the process until your season of elevation arrives.
#TBJoshua #TBJoshuaLegacy #EmmanuelTV #SCOAN #Christian
Furaha inapokutawala, unamkimbilia yule unayempenda; lakini huzuni inapokufika, unamkimbilia yule anayekupenda.
1
28
Moyo wangu, usisahau—
huzuni itapita taratibu, na kwa wakati wake, furaha itapata tena njia ya kurudi kwako. ❤️
1
16
Usidanganywe na wingi wa maombi na kufunga kwako. Angalia jinsi unavyowatendea wengine—hapo ndipo taswira halisi ya moyo na roho yako inapoonekana.
12
Baadhi ya sura za maisha huwa zenye vurugu, mkanganyiko na maumivu.
Endelea kusoma.
Hii siyo hadithi nzima.
Usihukumu maisha yako kwa sura moja tu.
Hadithi bado inaendelea kuandikwa.
13
Mwanaume lazima ajenge vitu 3:
Mwili unaoweza kustahimili presha na changamoto.
Akili isiyopanic wakati wa misukosuko.
Ujuzi unaoweza kuzalisha kipato.
Ukikosa kimoja, vingine viwili huathirika.
42














