ALPHANGA BLACK (@alphanga) header
ALPHANGA BLACK (@alphanga) profile picture

CCM number one

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2018
Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)Photo by ALPHANGA BLACK (@alphanga)
Leo Mgumu Jagwani kapata mimba, Mji Mzima umejaa mate hatuna pakukanyaga kesho
1
1,097
Sasa siwanacheza wakongo wote maana ukichukua @TPMazembe na @yangasc1935 ni timu ya taifa ya kongo kabisa
1,082
Kukua sio kuwa na umri mrefu bali ni kujua cha kusema ukisemeje ,ukiseme na nani kwa namna gani na wakati gani kama hujui ,busara ni kukaa kimya馃
1,042
ALPHANGA BLACK retweeted
Mhe Yusuph Mwenda ni Tz kutoka bara aliwahi kuwa Mstahiki Meya kinondoni, diwani kata ya mikocheni sasa ni mteule wa wa Rais Zanzibar Mh @DrHmwinyi kamishina wa kodi na mapato zanzibar ZRA Je? unamjua #NasoroMajidi unamjua msemaji wa ikulu zanzibar acha mapepe Muungano unalipa.
Shaka Hamdu ni Mzanzibar lakini ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Morogoro Tanzania Bara (Tanganyika), Je, Inawezekana kwa Mtanganyika kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini Zanzibar? Comments ziwe fupi fupi tu.
1
818

Maisha yamekufundisha nini mpaka sasa? Me. Maisha yalifundisha kuwa yenyewe ni kama kioo..! ukiyachekea nayenyewe yanacheka馃ぃ Lakini G kanifundisha nipunguze wema, maana kuomba ni fedhea. Je G ni nani? G ni Gitu dogo raini lakini neno lake moja ni zaidi ya ngumi ya Mandonga馃懌
326
ALPHANGA BLACK retweeted
Nimeipokea kwa masikitiko makubwa. REST EASY MY G馃檹馃従
116
118
3,830
135,490
Siku zote akili inataka amani moyo unapenda shari. Wewe amua tenda au waza kutumia moyo uone asara yake. Tumia akili utanikumbuka, ukitumia moyo kupenda ukitumia moyo kufanya biashara, ukitumia moyo kuchagua marafiki utaishia kulia tumia akili utanikumbuka nipo pelee #cheusiDawa
1
243
Inawezeka thamani yako haionekani kwakuwa nia yako njema na upendo umezidi kwao, sasa wasipo kuita usiitike, wasipo kushilikisha usishiriki, wasipo kuuliza usijibu, kama hawakushirikishi yao usiwashirikishe yako, kwenye kila jambo tazama manufaa yako kwanza #UbiNaFsiUnalipapia 馃檹
181
ALPHANGA BLACK retweeted
Mtu si jibwa asie Mtu basi ana Mungu.
1
3
273
Mtu si jibwa asie Mtu basi ana Mungu.
1
3
273
ALPHANGA BLACK retweeted
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Ndg Humphrey Polepole akipata maelekezo toka kwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa Tasaf aliyefanya vizuri zaidi na kuwa mbunifu kwa kuanzisha miradi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, nguluwe na ujenzi wa nyumba ya kisasa.
1
5
14
ALPHANGA BLACK retweeted
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneni ya utani maana ndipo ukweli ulipojificha, maana ukweli hauna rangi nzuli uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
1
5
213
Pesa imepanda bei utu umeshuka thamani ukweli unapigwa pini ili uwongo uzidi kuenea, je tumaini la kweli ni lipi ..........? #KumchabwanaNiChazoChaMaharifa
174
Tena na usiteseke na usiwe mnyonge daima maana utanyongwa kweli..! Tambua wakati na bahati humfikia kila mwanadamu kwa wakati sahii wa Mungu na kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi. kwenye biashara,kwenye uzazi au kwenye mapenzi na mengineyo kikubwa ibada bidii na uzima
128
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneno yenye utani maana ndipo ukweli ulipojificha, tambua ukweli hauna rangi nzuli bali uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
85
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneni ya utani maana ndipo ukweli ulipojificha, maana ukweli hauna rangi nzuli uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
1
5
213
ALPHANGA BLACK retweeted
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu @SuluhuSamia kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE
2
3
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu @SuluhuSamia kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE
2
3
Ingelikuwa maji yanazungumza basi yangewaambia walemwengu kuwa waoshe mioyo yao badara ya kuosha uso na mikono. Maana maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka馃槶馃檹