Pinned Tweet
Safu za Milima ya Balili, Bunda-Mara
Balili Hill range
#Tanzaniapazuri
Usiwe Ka mpumbavu sauti wamepaza watu wengi kuanzia wanafunzi wenyewe na hata ambao sio wanafunzi
So kila mtu aliyepaza sauti ameinfluence mabadiliko kufanyika akiwemo #twahamwaipaya na kutokana na influence yake nna uhakika amechangia kwa kiasi kikubwa kwa mabadiliko kutokea
Mwanaharakati pekee aliyetupazia sauti wanaUDSM kuhusu suala la ongezeko la Direct Cost na gharama za hostel na hatimaye wametupunguzia
#FreeTwahaMwaipaya
Best Student SUA
Bsc Veterinary Medicine
GPA 4.6
Hiyo ndo degree programme inayoongoza kwa Ugumu pale SUA hongera kwake Daktari π
2
114
Ila Jalalani πππ
Siku hizi pamepoa sana
Replying to @UdsmOfficial
@UdsmOfficial ni nini hiki? π kutoka 97K mpaka 255K Direct Cost ongezeko la zaidi ya 150K na @DarusoSoMG mnaliangalia tu hili
Tukianza kupitia item moja baada ya nyingine nyingi hapo zipo kwa ajili ya upigaji tu
Ila UDSM ya siku hizi tofauti kabisa na ya miaka yetu ile π
154

Report ya uchunguzi imetoka Influencer Igbo Ubiribo kumbe ilikuwa surgery yake ya 5 ili kuongeza maumbile zaidi
Hii ya mwisho alilazimisha adungwe sindano yote kwa wakati mmoja licha ya Daktari kumshauri asifanye hvyo
Rest in Peace Igho
121