Bey (@bijou_ms) header
Bey (@bijou_ms) profile picture
Paris, France
Joined March 2011
Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)Photo by Bey (@bijou_ms)
Nika apply Chuo 2005 lakini masharti ya chuo mpaka uishi hapo kwanza miaka miwili.Familia niliyokuwa naishi nayo wakaniambia nta ishi nao huku najifunza lugha ya kinorwegian kwa mda wa miaka miwili.2007 mwanzoni nikaomba tena nikakubaliwa kujiunga Aug 2007 BACHELOR BUSINESS
138
244
31
1,235
Madalali wamekuwa wengi jamani.
3
304
Yaani Sijui umri ama uchumi 馃馃
Replying to @bijou_ms
You are not alone.. au ndio umri? 馃榿
1
1
247
Nimekwamia iPhone 14 馃馃
1
3
380
10m Kenyan Shillings 馃憦馃徑馃憦馃徑馃憦馃徑
138
Eric Omondi 馃馃馃
126
Mimi kuna siku nilitoka tiz Alafu nikanywa coffee !Weeeh nilipata wenge flan ,nikaanza ku panic .Ilibidi Masai anisindikize home maana nilihisi peke yangu naweza kudondoka njiani .
Nilikuwa tizi nashangaa mwili hauna ushirikiano hadi naona nyota nyota baadae sana ndio nikakumbuka nimeshindia kikombe cha chai 馃
2
355
Muamadi Kijogoo
270
Nimesongesha 370k after 24hrs nimelipa 435k wtf !Voda nyie Ni UMBWAAAAAAAAAAA
1
11
803
Usingizi umegoma kabisaaa 馃ズ馃ズ
6
417
May better days come. 馃嚬馃嚳
2
1
22
696
Duh 馃挃馃挃
2
320
Fa inna ma'al-usri yusra.
1
5
445
Siku ngumu sana 馃挃馃挃
2
5
206
Sijafananisha Na Dar kwanza Kigali Ni mji mdogo sana,nimemjibu kuhusu mji kutokuwa Mzuri.
Replying to @bijou_ms
Usafi,nidhamu ya watu na uwepo wa lami mji mzima ni matokeo ya uongozi bora!ila kwa dar usifananishe!kigali fananisha na arusha labda
437
Kama apa tu Mbona .Greeeeen saaaafi
Hii town yao hapa huo uzuri wa rwanda ni upi , ukisema jamaa wanasoma sana IT nitakubali ila sio ishindane na Dar kwa mji
364
Mmh Rwanda kuzuri ,kusafi ,watu wana discipline ya hatari .Sheria wanazifuata Uzuri tu.haya Uzuri upi unazungumzia?
Replying to @bijou_ms
Sio kuzuri kama watu wanavo ongea , yani dar apo town kuzuri kuliko rwanda
1
1
12,353
Kijiji kipi mfano ?
Rwanda mambo yote ila bado kijijini 馃ぃ馃ぃ bora iringa kuzuri
1
3
591
Nihamie tik tok sasa maana IG aaagrrrrr
334
Sina hamu Na iyo bank .
Replying to @bijou_ms
馃槅馃ぃ馃ぃ馃ぃ nikajua una furahia
1
432
Nilivo Na hasira nao ,hata nilipwe pesa ndefu aje ,siwezi fanya matangazo yao.
1
2
520