UKIONA MWANAUME YUPO KWENYE MAISHA YA NDOA NA AMEFANIKIWA IN ANYHOW NA FAMILIA INAISHI VIZURI APART FROM KAZI AU BIASHARA ANAYOFANYA.
FAHAMU NYUMA YAKE KUNA MWANAMKE MNYENYEKEVU, MWANAMKE WA MAOMBI, MWANAMKE MSIKIVU NA MWANAMKE AMBAE HANA MAKELELE.
20
Hakuna anaejali AFYA YA AKILI ya mwanaume, mpaka inapobadilika na kuwa HASIRA na kumuona kama MTU MBAYA.
Hii inapelekea wanaume wengi kutokuwa WAONGEAJI au kutopekunda KUONGEA yanayowasibu sababau kwenye ukuaji wao wanajifunza kuwa hakuna anaejali wala anaetaka kuwasikiliza.
17
Jifunze kushukuru Mungu unapotoka nyumbani salama, na kurudi salama. Mambo ni mengi na vitu ni vingi barabarani ambavyo Mungu anakuepusha navyo.
12
KALI retweeted
Kuna hawa girls ambao ukiwa nao kwenye mahusiano wanataka kila muda mchati simu inakuwa inapigwa kama unadaiwa vile, yaani hawajiamini..
Hawa nao ni tatizo.
KALI retweeted
Haya Wewe Ndugu Msanii Uliyeshiriki Kwenye Kunadi Sera Hope Umefurahi Kuhusu Matokeo Vipi Kuhusu Shabiki Yako Aliyekufa Kwa Kuhoji Kuhusu Ukosefu Wa Ajira,Mfumuko Wa Bei, Ufisadi Wa WaziWazi etc… Huwezi Hata Kutoa Pole Ya Kinafiki??
KALI retweeted
"Mungu wetu sio wa Kisasi, lakini usinijaribu kiasi cha kukusomea Zaburi 109"
#Elimikawikiendi
KALI retweeted
Wanasiasa tuache nchi ipate katiba, msiteke mjadala wa katiba. Kumbukeni hii ni katiba ya Tanzania na sio ya wanasiasa tu!
Ukitaka kuwa na mtu mwenye “HELA” kwenye mahusiano, basi hakikisha nawewe unahela.
Otherwise UTAUMIA, na kuumiza maungo yako ya mwili. ✍️
4
Unataka mwanaume mwenye gari, wakati wewe mwenyewe kwenu hamna mpaka mmepewa baiskeli ya sisiemu juzi.
Pambana nawewe upate lakwako ✍️
2
KALI retweeted
Habari za asubui maboss, nimekuja hapa kuwa habarisha unapenda oped bod yako au Box bod yako ikikamilika nyuma iwe namuonekano gani. Kwa machanguo upendayo nipigie namba tufanye kazi
0787782522









