Genious鉁嶏笍 (@chibelube) header
Genious鉁嶏笍 (@chibelube) profile picture

饾棞饾椈饾榾饾椊饾椂饾椏饾棶饾榿饾椂饾椉饾椈 饾棫饾棶饾椆饾椄 | 饾棖饾椉饾椈饾榿饾棽饾椈饾榿 饾棸饾椏饾棽饾棶饾榿饾椉饾椏 | 020 饾棢饾椂饾棾拢馃搶

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2015
9/7/2024. Inallilah wahinah Lilah Rajiun. My Mama 馃挃
297
88
10
1,035
185,101
Kuwa na pesa kwenye Account ni bora ila kuwa na Mungu moyoni ni Bora zaidi.
2
11
85
3,781
Weka mapenzi na mahaba Pembeni Uangalie ni namna gani Unajiondoa kwenye huo Umaskini kwanza.
8
58
1
352
8,906
Haijalishi wewe ni mzuri kiasi gani kama haupo sehem sahihi utakua hauna Thamani yoyote.
1
11
116
4,168
Kimbiza kila kitu kwenye haya maisha. Isipokua KIFO kitakuja chenyewe Muda Ukifika.
2
8
109
4,375
Wapende sana wazazi wako, Sio kila mtu ana nafasi Hiyo.
4
21
187
5,002
Mzazi atakufundisha mengi ya Dunia ila Hata kufundisha Kuishi bila yeye.
4
16
128
5,206
Siasa ndio maisha na maisha ndio siasa, Kwa kifupi haikwepeki, Ila kama utaweza IKWEPE tu.
6
57
3,643
Kama ndoa nzuri mashahidi huwa wa Nini?
3
8
1
133
6,182
Utafutaji unatufanya tuwe macho, Muda ambao wengine tayari Wame Lala.
1
33
208
6,075
Genious鉁嶏笍 retweeted
Moyo ukichoka hautoi jasho, Unatoa maamuzi.
5
68
312
8,749
Tunaumizwa na mengi sana, Tunayo Yavumia ni machache Katika Mengi.
1
5
40
3,860
Unaishika simu yake ili uone watu wanao msumbua, Unakuta yeye Ndio Anawasumbua.
6
20
1
182
5,953
Sitafuti ili niwe maarufu, Natafuta ili niweze kubadili Nyeusi kuwa nyeupe, Niweze kubadili matokeo wakati Wowote.
1
14
104
4,369
Genious鉁嶏笍 retweeted
Usijenge ushindi wako, Juu ya maumivu ya watu wengine.
4
39
1
225
9,094
Moyo ukichoka hautoi jasho, Unatoa maamuzi.
5
68
312
8,749
Usijenge ushindi wako, Juu ya maumivu ya watu wengine.
4
39
1
225
9,094
Uenda ukawa na furaha, Ila utakua na Furaha zaidi pindi Ukiwa na Hela.
2
26
181
7,942
Usiruhusu kufundishwa kutembea na mtu Ambaye ajawahi kuvaa viatu vyako.
4
30
239
8,860
Unaye muamini ndio atakufundisha Namna nzuri ya Kutokuamini watu Wengine tena kwenye maisha yako.
7
45
1
312
10,928
Genious鉁嶏笍 retweeted
Kifo ndio mchongo pekee Ambao tunausikilizia wote, Na nilazima Utiki One day.
8
90
2
711
22,150