
#YNWA❤️ #Barbering services ✂️💈 📞: 0623014682 #KAZAULE
DSM, Tanzania
Joined September 2023
- Tweets12.2K
- Following1.9K
- Followers2K
- Likes6.3K
Pinned Tweet
Nipeni Kazi ya kuwanyoa wakuu
☎️0623014682
📍SINZA DSM
Wanangu wa Singida black stars Jana waliwaka 😅
#RT
Kaka_kinyozi retweeted
Naombeni kazi ya kuwanyoa Weekend hii wapwa
📍SINZA LION _
Bolt FAKIZ Tower
📞0623014682
#cypro_barbershop
#kaka_kinyozi
Gharama ya kunyoa ni TZs _20,000
Home /Outdoor haircut inapatikana pia kwa TZS 60,000
Naombeni kazi ya kuwanyoa Weekend hii wapwa
📍SINZA LION _
Bolt FAKIZ Tower
📞0623014682
#cypro_barbershop
#kaka_kinyozi
Gharama ya kunyoa ni TZs _20,000
Home /Outdoor haircut inapatikana pia kwa TZS 60,000
Saa hii demu yako ako mahali amevaa t_shirt refu anabishana na salaried guy Kama atakaanga mayai kwanza ama aendee P2 kabla pharmacy hazijafungwa na
Text yako ya mchana bado hajajibu 😂🤝
Shukrani familia 🤝
We love Feedback
Linen shirt #Zara brand
Mteja wangu amependeza🥰🔥
Karibu tena @cyproTheBarber 🔥😊
Kaka_kinyozi retweeted
🏋️😁
Janja @mshishi00 nikupe location 😁
Kaka_kinyozi retweeted
Muonee huruma ndugu yangu @Eric__Bernard kasema "Hi" hapo chini tangu jana anasikilizia🤲🏾💀😅
Kaka_kinyozi retweeted
New week, same grind. Lord, bless the hustle and fill the bags💰
Kwa huduma ya kunyoa ,kindly Dm/call 0623014682
📍jengo la FAKIZ TOWER _Sinza
#homeservicehaircut inapatikana pia kwa Gharama nafuu
@Skygrapher_255 @kishoka_ @mankadolly Ahsanteni kwa kuja wakuu😅
New week, same grind. Lord, bless the hustle and fill the bags💰
Kwa huduma ya kunyoa ,kindly Dm/call 0623014682
📍jengo la FAKIZ TOWER _Sinza
#homeservicehaircut inapatikana pia kwa Gharama nafuu
@Skygrapher_255 @kishoka_ @mankadolly Ahsanteni kwa kuja wakuu😅
Kaka_kinyozi retweeted
Good morning bosses
Kabati la nguo milango minne
750,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏
Kaka Mimi naondoka na hii “nikatuma Vijana wangu😁 “
Hawaogopi hata pesa ya Kidali 😂
Mara nyingi huwa sipendi kuharibu biashara za watu ila kuna mda inachosha kinoma.
Nilichukua Jezi kutoka kwa @45MinStore mwezi wa 9 tarehe 3. Nikalipa chap bila longo longo na akatuma risiti ya "Kampuni" aliyotuma huo mzigo kwenda Arusha.
Siku zimepita kama mbili, nikapiga simu kwenye namba za ile risiti, ila hawapokei. Nikatuma Vijana wangu waende Stendi, nako kimya.
Nikamrudia @45MinStore baada ya siku 5, akaniambia watanipigia. Nikasubiri, kimya tena. Ila kila nikipiga namba alizonipa, jamaa hawapokei. Na wala hawa reply missed calls.
Mwezi mmoja ukapita, nikamcheki tena jamaa, kumjulisha hawapokei simu wala hawasemi walipo. Jamaa akanipa story kuwa wako poa,watanicheki.
Nikaenda mwenyewe stendi, piga sana Simu, hawashiki. Leo, miezi miwili baadae, nikaenda tena, hawashiki simu wala texts hawajibu.
Mnaowajua, nitajieni tu walipo nataka nikawasalimie. Maana hizi ni dharau. Imagine ingekuwa ni medication au kitu kinacho expire?
Na it's not about the money, it's about integrity na uaminifu.
1
86







































