Dan Chibo (DC) (@danchibodc) header
Dan Chibo (DC) (@danchibodc) profile picture

Father | Husband | Catholic | Media Personnel | 📖 1 Yohana 2:6

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2009
Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)
Siri ni 𝐌𝐚𝐨𝐦𝐛𝐢. Sababu ni 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮. Mpango ni 𝐔𝐭𝐢𝐢. Matokeo ni 𝐍𝐞𝐞𝐦𝐚.
6
68
227
3,819
Imeandikwa, "Bwana alitoa neno; nao waliolitangaza walikuwa jeshi kubwa." Kwa jina la Yesu, Bwana na aamuru mabadiliko ya majira kwa ajili ya kuinuliwa kwako, kiasi kwamba Mungu na wanadamu watalazimika kukusaidia na kukupendelea. Yesu anajijengea sifa kupitia maisha yako.
3
11
231
Maria, Mama wa Rehema, waombee wale wanaohisi wametelekezwa na kusahauliwa na Mungu. Wakumbushe kwamba ukimya wake haumaanishi kutokuwepo kwake na kwamba upendo wake hautegemei hisia zao. Waongoze kwenye Moyo wa Yesu, mahali ambapo kila nafsi iliyojeruhiwa inapata pumziko. Amina!
2
10
142
Baba wa Mbinguni, Asante kwa kutuamsha asubuhi ya leo. Kabla hatujaingia kwenye mihangaiko, mioyo yetu inachagua kuelekea kwako kwa shukrani. Kama Zaburi 107:21 isemavyo, tunakusifu kwa wema wako mkuu na matendo ya ajabu uliyoyafanya na unayoendelea kuyatenda katika maisha yetu.
6
2
19
266
Tulilala usiku kucha, Yeye alitulinda na akatuamsha tena, Yeye ni Mungu!
3
6
25
319
Na unapoomba usiku wa leo, usiharakishe. Omba kama mtu anayejua kuwa sala si njia ya kukwepa uhalisia, bali ni mlango wa kuingia katika uwepo unaotawala uhalisia huo. Dunia imechukua nguvu zako kwa siku nzima; sasa, mpe Mungu umakini wako. Yeye ameona gharama uliyolipa leo.
10
152
Amina 🙏🏽✝️
2
9
171
ATUKUZWE MUNGU Atukuzwe Mungu. Litukuzwe Jina lake Takatifu. Atukuzwe Yesu Kristu, Mungu kweli na Mtu kweli. Litukuzwe Jina la Yesu. Utukuzwe Moyo wake Mtakatifu. Itukuzwe Damu yake Takatifu. Atukuzwe Yesu, katika Sakramenti Takatifu ya Altare. Atukuzwe Roho Mtakatifu Mfariji.
1
2
8
127
Asifiwe Mama wa Mungu, Maria Mtakatifu. Asifiwe Maria, aliyekingiwa dhambi ya asili. Asifiwe Maria, aliyepalizwa Mbinguni. Lisifiwe Jina la Maria, Bikira na Mama. Asifiwe Mtakatifu Yosefu, mchumba wake mwenye usafi kamili. Atukuzwe Mungu, katika Malaika wake na Watakatifu wake.
13
Siku ya 302 kati ya 365 - 2026 ✝️ “Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.” 📖 Mathayo 4:7
75
Ee Maria, Mama wa Huzuni, uwe faraja kwa wale wanaoomboleza wapendwa wao. Waombee wale wenye majeraha, wagonjwa, waliopotea, waliotelekezwa, wenye msongo wa mawazo na walio katika hali ya udhaifu. Amina!
1
1
11
269
Baba wa Mbinguni, Asante kwa kutuamsha asubuhi ya leo. Tunaombea Roho za Ndugu zetu Waliofariki Oktoba 29, uwape Raha ya Milele na ukazifariji familia zao. Uwaponye Majeruhi wote, uwarudishe Waliopotea na uijalie nchi yetu Haki, Amani na Upendo. Kwa jina la Yesu Kristo, Amina!
4
2
24
397
Hakuna unachokabiliana nacho kilicho kikubwa kuliko Yeye ambaye tayari anajua jinsi mambo yatakavyoishia. Hajawahi kushindwa vita na hatashindwa katika vita yako!
1
2
9
326
Imeandikwa, "Waniandalia meza mbele ya watesi wangu; umenipaka mafuta kichwani mwangu, kikombe changu kinafurika." Kwa jina la Yesu, mbele ya kila mtu asiyetaka ufanikiwe, wewe umepakwa mafuta ili utawale na kumiliki. Karibu katika maisha ya rehema za Mungu.
1
2
17
329
Maria, Kimbilio la Wenye Dhambi; Waombee wale wanaopambana dhidi ya vishawishi. Wasaidie kuachana na chochote kinachowatenganisha na Mungu, na kupata nguvu katika sala, Sakramenti na neema ya Mwanao. Wasipoteze kamwe tumaini katika huruma ya Mungu. Amina!
5
118
Baba wa Mbinguni na aongeze fursa zetu, aimarishe imani yetu na abariki kazi ya mikono yetu kwa namna isiyo na kipimo. Hekima yake ituongoze na wema wake uambatane nasi katika siku hii yote. Kwa wingi wake na kwa neema yake, hatutakosa chochote. Katika jina lake Takatifu, Amina!
1
1
15
361
Kabla hujafumba macho yako usiku wa leo; mkabidhi Mungu ule wasiwasi ambao ulipaswa kuubeba peke yako. Muombe alete amani moyoni mwako, faraja kwa wale wanaoumia na ulinzi juu ya watu unaowapenda.
2
23
398
Si lazima uwe tajiri ili kuboresha maisha ya mtu mwingine. Tendo dogo la wema, kutoa msaada au kuwa na moyo wa kujali, vinatosha kuleta mabadiliko makubwa sana. Kamwe usidharau nguvu ya wema. Huenda usiwe na vingi vya kutoa, lakini daima unaweza kumpa mtu sababu ya kutabasamu.
6
28
643
Harry Kane ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2026, na kuwa Mwingereza wa kwanza katika kipindi cha miaka 25 kushinda tuzo binafsi ya hadhi ya juu zaidi katika soka.
3
130
Amina 🙏🏽✝️
5
1
17
256
Chochote kisichopatikana ndani ya Yesu Kristo hakitapatikana ndani yako: kitaang’olewa kwa jina la Yesu. Kila kitu kilicho ndani ya Yesu Kristo kitapatikana ndani yako kwa ajili ya utukufu wa sifa zake.
1
27
498