Daxo Chali (@daxochali) header
Daxo Chali (@daxochali) profile picture

Producer , Sound Engineer ⚪ MJRECORDS

Tanzania
Joined August 2012
Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)Photo by Daxo Chali (@daxochali)
Njia rahisi ya kusahau shida zetu ni kuhesabu baraka zetu. 🙏
1
86
Wadada hawapendi hela , wadada wanapenda maisha mazuri, maisha mazuri yanahitaji HELA.
1
78
Kuna muda bahati ni bora kuliko juhudi.
1
81
Kama ulimnyanyua mtu na alipofika juu mkatofautiana, usiangaike kumshusha, pandisha mwingine juu.
1
2
91
Happy birthday boss
86
Wakati wengine wanavua nguo chafu na kuvaa safi ili waende kazini, kuna wengine wanavua nguo safi na kuvaa chafu ili waingie kazini. #THISLIFEOFOURS
1
49
I’m finding, i prefer my dinner at lunch, a light supper in the evening, drinks at both.
1
47
Check out this content on Binance Square 👉 binance.com/en/feed/post/216…
49
Watch Titanic Movie Online| FlixWave flixwave.to/watch/movie-tita… 😍😍
148
Don’t hide yourself when you’re in pain. It’s unfair that we laugh together and you cry alone.
1
1
4
1,100
Haitham Kim 🥹
106
Mwenyezi mungu kampa kila mtu uwezo wa kupata kipato chake tena hata kwa kila siku. Ugumu unakuja kwenye kuchagua kazi na kujipangia malipo. Happy birthday to me. 🎂
1
92
Knowledge is not free you have to pay attention.
1
102
Rafiki anaeshindwa kukusaidia ukiwa na shida bado pia ni rafiki yako. Tena unawezakuta anapitia shida kubwa kuliko yako na hajakuomba msaada. Huna haki ya kumkasirikia mtu alieshindwa kufanya kile kilichokushinda kufanya.
1
2
82