Pinned Tweet
Our team is perfectly working around the globe to bring you news, entertainment and excellent radio programs. dayoradio.com
Listen Now servidor40.brlogic.com:7120/…
#dayoradio
Jukwaa la wanawake
je,unahisi kwa nini kwenye ugavi wa misaada kama chakula wanawake ndio huwa wengi kwenye foleni hadi wakati mwengine kusababisha msongamano ama vifo
#dayo
#womenempowerment
#dayoradio
Muungano wa Kenya Kwanza pamoja na chama ODM wanaendelea na mkutano wa pamoja wa wabunge katika ukumbi wa Kenyatta International Convention Centre, Nairobi.
25
Mwanamitindo maarufu wa Nigeria, Elena Jessica, amefariki dunia kufuatia matatizo yaliyojitokeza baada ya upasuaji wa pili wa Brazilian Butt Lift (BBL) katika kliniki moja Lagos, Nigeria.
2,032
Watu kumi na wanne wamefariki dunia huku wengine thelathini wakijeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika makutano ya Malaha kwenye barabara ya Kitale–Webuye kaunti ya Bungoma.
1
87
DAYO Radio retweeted
Je, unaelewa mbinu ngapi za uwekezaji na kujenga utajiri? Usikose mazungumzo haya muhimu kwenye Dayo Breakfast siku ya kesho pamoja na Harrison Kazungu na Rajab Waziri.
Ungana nasi tukufunze jinsi ya kuwekeza vizuri na kujenga utajiri wako.
#DayoBreakfast

"Kama kuna mtu kutoka Kwale anayemtambua Joho wa Mombasa kama kingpin wa Pwani, basi aondoke hapa Kwale avuke ferry aende akaishi Mombasa na huyo kingpin wake.
Mtu mmoja ambaye ni mlaguzi na mwizi hawezi kuzungumza kwa niaba ya eneo letu." Fatuma Achani, Gavana Kwale.

Waziri Mkuu Musalia Mudavadi, amesema Kenya inafuatilia kwa karibu hali ya Mashariki ya Kati na hakuna taarifa za raia wake kujeruhiwa. Ameshauri Wakenya wapatao 500,000 walioko eneo hilo kuepuka hatari kwa kutumia ndege za kawaida za kurudishwa nyumbani kwa gharama zao
22
Rais Ruto amemwagiza Mbunge wa Belgut, Nelson Koech, kuhakikisha watoto wa wawaathiriwa wa ajali ya ndege ambao bado wako shuleni wanapata elimu na msaada wa kuendelea na masomo yao.
dayoradio.com
32
"Ex wangu ni mduruma na ex wa huyo mume wangu ni mduruma wakutanisheni waende Waroge huko duruma jamani angalau nipumzike matusi" - Ruby Kache
13
Mwanamke Mkenya anayeishi Saudi Arabia amerekodi video akiwa hospitalini huku akiwa amefungwa pingu kwenye kitanda cha hospitali.
47
Jiunge nasi 6 Machi kuanzia saa 11AM kwenye kipindi cha Mid Day Show tukijadili kuhusu usawa wa kijinsia na uongozi wa wanawake. Mgeni wetu ni Susan Lankisa, Gender Officer kutoka DAYO
dayoradio.com #GenderEquality #WomenLeadership #DayoRadio #InternationalWomensDay
61
DAYO Radio retweeted
“Juzi nilipigwa mawe Kisumu, wakidhani gari yangu ni jeupe kama la Babu Owino. Wanasema wanataka kumuua Babu. Kwa nini mtu yeyote atake kumuua Babu?” — Richard Onyanka
“Juzi nilipigwa mawe Kisumu, wakidhani gari yangu ni jeupe kama la Babu Owino. Wanasema wanataka kumuua Babu. Kwa nini mtu yeyote atake kumuua Babu?” — Richard Onyanka
DAYO Radio retweeted
Je, jamii yetu inawapa wanawake nafasi sawa za uongozi? Toa maoni yako.
#WomensDay2026 #Dayoradio
Je, jamii yetu inawapa wanawake nafasi sawa za uongozi? Toa maoni yako.
#WomensDay2026 #Dayoradio