HUGO (@deohugo) header
HUGO (@deohugo) profile picture

Customer Experience Expert | Project Management | iFresh Beard & Hair Care Products

Tanzania
Joined December 2010
Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)
TSh 26,412,100,000
Kuna tetesi kuwa brand ya ROOM OF JEANS inawindwa na wawekezaji kutoka China na Pakistan. Inadaiwa wadosi wamefika $2.5M, huku mmiliki wake, Dominic Mmasi, akitaka zaidi ya $10M ili kuachia brand hiyo. Je, Dominic Mmasi anapaswa kuuza au aendelee kuijenga brand iwe kubwa zaidi?
42
Man United 😀😀😀😀
1
195
Vision without action is a daydream.. Action without vision is a nightmare.
142
Jenga uchumi wako kwa hekima, bidii na nidhamu. Maendeleo ni matokeo ya juhudi, si bahati. “Mipango ya mwenye bidii huleta faida.” - Mithali 21:5.
1
3
189
Jua ni kali sana leo. Tafadhali, kama kuna namna ya kupunguza makali yake, fanyeni hivyo. 🙏
2
193
Football is much like the healthcare profession - a few make the transition from nurses to lawyers. It’s a continuous cycle; your starting point doesn’t define where you end up.
2
169
Chat wenu ni Yanga mtupu na anakanusha
3
403
Alarm inajua kukera.
4
8
574
Anyway, Shoppers Supermarket wana tabia ya uvivu wa kurudisha chenji ya chini ya Sh 500....wanakupa PK au Pipi Kali, na huna cha kuwafanya. 😀
8
6
5
46
4,201
Some people eat like there's no tomorrow but never gain weight! What's their secret? Fast metabolism or magic? 🤣👇
111
SIMBA ya msimu huu ni moto wa kuotea mbali! 🔥🦁 Ukilala, ukiamka unakuta wameshinda tena! 😂 Mechi 10, ushindi 10! 100% winning record! 💪🏽 Hii si Simba ya kawaida, ni mashine ya ushindi! Historia inaandikwa. SIMBA NGUVU MOJA! 🦁 @SimbaSCTanzania
2
13
772
NOVEMBER 2 – SIKU YA KUWAKUMBUKA MAREHEMU 🕊️ Mwenyezi Mungu, uwape marehemu wote raha ya milele, na mwanga wa milele uwaangazie. Roho zao zipumzike kwa amani. Amina. 🙏
7
17
603
😶‍🌫️
108
Yanga haijawahi shinda mechi za Jumapili
1
1
341
Mara nyingi mtu mnene akikwambia yupo busy, jua anakula au anasubiria chakula.
3
3
432
Suala la kilimo cha vitunguu Iringa liliishia wapi, wakuu? Nakumbuka kuna vijana walikuwa na hamasa kubwa sana kuhusu hii project. 😀
2
161
Biashara 4 ambazo haziwezi kufa kirahisi ukiwa serious: 1. Elimisha – Elimu na maarifa rika zote. 2. Tibisha – Afya ya binadamu, wanyama na mimea. 3. Lisha – Kilimo na uzalishaji wa chakula. 4. Makazi – Makazi na huduma za nyumba. Ipi nyingine? 🤔
225
Bila kutaja kazi yako, comment kwa kutumia maneno unayoyazungumza mara kwa mara kazini, halafu waache wataalamu wakutajie unafanya kazi gani! 😄
12
1
6
15
3,574
Kama huyu anatizama hapo..umpate mchemsho na pilipiliiii
Iwe ya kuchemsha unywe supu au kukaanga ule makange?👀
1
1
267
Mfanyabiashara, mtende mteja wako kama mfalme! Mheshimu, mhudumie kwa ubora na timiza ahadi zako. Kumbuka, mteja akiridhika, anarudi; akithaminiwa, anakutangaza! 🤝
2
3
1,616