Virusi vya corona vikitokea Kwa
Nchi zetu za Afrika na Mungu
Atuepushe nadhania ...
Itakuwa ni sasa na mwisho wa
Dunia...
Mwenyezi tuepushe...
1
Best album yangu ya Hip Hop
Ulikuwa ...
Vina Mwanzo kati na Mwisho
Lakini hapana now ni..
KitaaOlojia ya @FidQ
Hii Tajiri ni moja kati ya Jiwe langu
Bora kabisaa
Yaaani kumbe mashabiki wa timu
Ya wananchi uwa ni mitandaoni tu !!!
Sio kwenda kiwanjani.
Ili kuichangia timu yao..
Mwanangu @MwanaFA nimeamini siwezi kuchinja Ngombe mzima Kwa order ya maini nyama Nyingine nimuuizie nani iniozee ndani
Huu wimbo unaniambia ndio da best Hip Hop song 2019 maneno
Beat Balaaa kabisaa
Kweli naamini sio lazima uimbe na beat kakaa
Tuko nyuma yenu Taifa Stars
Naamini tutashinda ...
Bidii na kujitoa ndio njia sahihi
Ya kutupa ushindi....
1
Instagram imerahisisha sana Mambo....
Kila mtu anaweza kuwa mchambuzi
Wa soka kikubwa kujiunga urafiki na
Eddo kumwembe nk.....
1
