Pinned Tweet
DEAR DOCTORS
Mgonjwa sio mali yako. Ukiona ukomo wa ujuzi wako au ukosefu wa vitendea kazi: uliza colleagues au toa RUFAA.
Hiyo haitakufanya kuwa daktari mbaya (Shallow), bali daktari mwenye kujali.
RUFAA NI SEHEMU YA MATIBABU!
"watu wa kawaida" mmmhh
Kumbe si Watu wa kawaida pekee wanaolizwa kwenye biashara, hata Wasanii yanawakuta, Msanii wa Filamu na Mfanyabiashara Jackline Wolper amefunguka kuhusu safari yake ya ujasiriamali, ikiwemo namna alivyopata hasara ya shilingi milioni 40 katika biashara yake ya vitenge.
Unataka kujua ilikuwaje? Wolper amekaa na AyoTV na kusimulia kila kitu kilivyokuwa, kuanzia namna alivyohamisha biashara yake ya kuuza vitambaa kutoka Tandika kwenda Sinza kutokana na changamoto za foleni, gharama za usafiri na muda, hadi changamoto mbalimbali alizokutana nazo katika biashara, ikiwemo ushindani wa bei na hasara zilizomkuta.
#MillardAyoUPDATES
85
Dr. Mlaluko, MD retweeted
KUNA UMRI UTAFIKA
Utagundua ulichelewa sana kuanzisha familia. Hasa kupata watoto.
Sijawahi kuona anayejilaumu kuoa au kuolewa mapema.
UNAPOTAFUTA PESA, USISAHAU UNAHITAJI MKE/MUME NA WATOTO
Leo boda kagonga watoto wawili zebra, watoto wakapoteza maisha hapohapo.
Hawa madogo wa boda sijui huwa wana haraka za wapi.
Innalillahi wainnalillahi rrajiun
104
Kama mantiki ni kutokukumbuka chochote,,basi unapolala huwa unakufa pia!!
A very simple logic!



















