Eugene🪖 retweeted
Unabag ng'ombe then ashaanza kukuuliza kama unapenda watoto, mara uko na baby mama, mara unapanga kuoa lini. I'm just in my early 20s hata sijapata pesa ya kubuy na unaniuliza vitu serious hio design 😂
Eugene🪖 retweeted
Friday is a preparation day for the Sabbath. Mambo ya pombe na wanawake tuliachia watoto na wanawake. Sisi huku kwetu ni maombi tuu. Happy Sabbath my friends!!!
Eugene🪖 retweeted
Niwaulize for example ukipata Dem yako anaintroduciwa kwa family ya graduant Bois,hio inaeza kua inamaanisha juu najaribu ku furthom lakini mambo inakataa😭ama na overthink?





















