Fasta Fasta retweeted
Using Data for Food Systems Resiliency with @stholsether (@yara), Tsuyoshi Stuart Oda, @LeesaShrader (@mercycorps), @IshmaelSunga, @pthigo, #sdi pscp.tv/w/cjmYAjIyNjMzMzJ8MW…
Tuambie unahitaji bidhaa gani kutoka sokoni, sisi tutakununulia na kukuletea mpaka ulipo. Ni haraka na gharama nafuu. Karibu!
1
Fasta Delivery ni huduma inayokusaidia mteja kuagiza mzigo wowote kutoka / kwenda mahala popote kwa usalama, uhakika na gharama nafuu.
Huduma zetu zinakuwezesha:
-Kuagiza vitu kutoka sokoni
-Kuhamisha vitu kutoka nyumbani / ofisini.
-Kuagiza vitu kutoka katika masoko ya mtandaoni
Unahitaji kununua vitu kutoka sokoni na hauna muda wa kwenda kununua? Tuagize sisi tukuletee, kwa gharama nafuu, usalama na uhakika zaidi. Ni Fasta Tu!
Tunakuwezesha kuagiza bidhaa yoyote kutoka sokoni kisha tukakuletea kwa uhakika, usalama na gharama nafuu.
1









