Ulimwengu Hauna Huruma Na Kiumbe Maskini…
Bro;
Hakikisha Unatajirika Mengine Yatazungumzika… Tajirika Kwanza 🫵
1
12
225
Day 27/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kama Unauza Bidhaa Nzuri, Usifiche Ushahidi. Piga Picha, Rekodi Video Na Waonyeshe Watu Kile Unachokifanya, Wateja Wako Wapo Mtandaoni.
Day 26/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kuna Wafanyabiashara Wanapata Wateja Kutoka Mikoa Mingine Bila Hata Kufungua Matawi Huko. Wewe Bado Hutaki Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Day 25/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Wateja Hawana Wajibu Wa Kukutafuta Kila Siku. Ni Jukumu Lako Kuwakumbusha Kwamba Bado Upo Na Unazo Bidhaa Wanazohitaji.
Feisal Khalid retweeted
Replying to @INFLUENCERjr
Huwezi Kujenga Mji Na Mtu Anayetaka Attention Ya Wanakijiji😂
Day 24/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unatumia Pesa Nyingi Kulipamba Duka Lako, Lakini Unashindwa Kutumia Muda Kuonyesha Uzuri Wa Duka Lako Kwa Kuliweka Mtandaoni.
Jifunze Kucheza Na Fursa.
Day 23/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kama Wateja Wanahitaji Kuja Dukani Kwako Ndipo Wagundue Unauza Bidhaa Nzuri, Unakosa Fursa Ya Kuwafanya Wajue Hilo Kabla Hawajafika…
Ukiiweka Biashara Yako Mtandaoni Unawafanya Wakujue Kabla Hawajakuona.
Day 22/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Usifanye Account Yako Kuwa Ya Kuangalia Post Za Wengine Pekee.
Hata Biashara Yako Inahitaji Nafasi Kwenye Hiyo Platform.
Day 21/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Mteja Akikuuliza Unapatikana Wapi, Unamtumia Location.
Akikuuliza Unauza Nini, Unaanza Kutafuta Picha Kwenye Gallery Wakati Unaweza Kumuelekeza Account Yako Na Akachagua Anachokitaka.
Kadri Ninavyokuwa Mkubwa, Naanza Kuelewa Kwanini Siyo Kila Anayeenda Kutazama Mpira Uwanjani Ni Shabiki…
Bro;
Ukipata Sehemu Ya Kwenda Kupiga Kelele Hadi Sauti Ikakauka Nenda…..
NENDAAAAAAAAAA…!!!!!
Day 20/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Kama Biashara Yako Haina Hata Akaunti Ya Mitandao Ya Kijamii Inayoonyesha Unachouza, Bado Una Kazi Ya Kufanya.
Dunia Ya Biashara Imesonga Mbele!
Mwalimu Wangu Aliwahi Kunifundisha Namna Ya Kutumia Attention Katika Biashara…
Hii Attention Ya GTA VI Ni 🔥🔥
Day 19/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Unaweza Kuwa Na Duka Zuri Sana, Lakini Usisahau Kwamba Sio Kila Mteja Atapita Mbele Ya Duka Lako. Jifunze Kuwafikia Hata Walio Mbali Kwa Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Day 18/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni.
Usione Wengine Wanapata Wateja Mtandaoni Halafu Uanze Kusema Wana Bahati. Wengine Wamejifunza Kutumia Platform Hizo Vizuri.



