Zile Ads pale kwa green app statuses huwa ni annoying asf💔 af nyingi kinoma💔
@WhatsApp mnazingua asee
/ADENUGA✝️ retweeted
Audacity ya watu wa Dar kmmke😅💔
Yani mtu anakukopa anakuzungusha kukulipa, siku anayokulipa anataka umkopeshe tena hapo hapo😅 unamwabia sina hela anakujibu si hiyo hapo nimekupa💔
Audacity ya watu wa Dar kmmke😅💔
Yani mtu anakukopa anakuzungusha kukulipa, siku anayokulipa anataka umkopeshe tena hapo hapo😅 unamwabia sina hela anakujibu si hiyo hapo nimekupa💔
/ADENUGA✝️ retweeted
🤣 jamaa alipataga A Islamic Education na kiarabu form 4 mind you
Wareno wanasema "Genio"
/ADENUGA✝️ retweeted
Hivi kuna kazi ya ofisini inaweza kukupatia USD 1.6M as salary kwa mwaka!?
Unaweza sema hakuna ila i can assure you ipo😅
/ADENUGA✝️ retweeted
Kuna labda nyingi zimenizonga kichwani!
Labda upo upande Wa wenye nguvu, labda hujazika mtu, labda Imani Haba, labda unatafuta likes, labda Ni mpumbavu, labda umetumwa, labda ndio ugali wako ulipo au labda wewe Ni MATAKO YAKO.
Hivi mtu mwenye kithembe akiwa anaandika pia anaweka “th” kwenye s?
au huwa kwenye kutamka tu ila kuandika freshi?🤔
/ADENUGA✝️ retweeted
Hivi icho kithembe huwa kinapona? like kuna dawa utumie au ufanyiwe upasuaji kiishe?




































