hendrymuna. (@him_self_1) header
hendrymuna. (@him_self_1) profile picture
United Kingdom
Joined June 2020
Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)Photo by hendrymuna. (@him_self_1)
Realizing people my age aren't even my competition, it's their fathers that I'm competing with.
180
Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha. Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake. Zab 126:5-6
1
3
105
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki, kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao… furahini na kushangilia, kwa kuwa thawabu yenu ni nyingi mbinguni.”
1
5
102
“Lakini nitaufanya moyo wa Farao uwe mgumu, nami nitaongeza ishara zangu na maajabu yangu katika nchi ya Misri Kutoka 7:3
2
4
76
Too many people think the grass is greener somewhere else, but grass is green where you water it -
1
3
81
Mali zetu watatawanya nakugawana nakisha watakuja nakusema puuzieni kwani hamuoni maendeleo . wanatuhonga Baiskeli wao wanaendesha magari ya kifahari
2
42
Tunaona tabu sisi kuungana kuwakabili wenye nguvu’ Wenye nguvu wanaungana kumkabili mnyonge’ila wanyonge wanashindwa kuungana kumkabili mwenye nguvu
2
2
96
Kumbuka nyakati ulizomwomba Mungu akupatie mambo uliyo nayo leo.
2
38
Tulisema tutawapokea watavokuja sindio🇹🇿✊🏿..
1
5
86
Mpenda haki Zingatia mambo haya. Kuwa makini, kuwa confident, jitambue; usiwe na MAWENGE Fahamu njia na chocho zote za kutokea. Kula buti, nguo nzito, funika mwili wote Linda uso: barakoa, miwani, scarf
1
1
4
99
“Kama mtu atapatikana amemteka Mwisraeli mwenzake na kumtendea vibaya au kumuuza kuwa mtumwa, yule mtekaji lazima auawe. Hivyo ndivyo mtakavyotoa uovu kati yenu.” (Kumbukumbu la torati 24:7)
1
3
75
Kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa mkutanoni wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako akajibu akasemaNawaambia ninyi,wakinyamazahawa mawe yatapiga kelele
1
32
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa. Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. (Ufunuo wa Yohana 22:11).
4
5
182
Kuna wakati ndani ya historia ya taifa ambapo kusimama kimya ni sawa na kuisaliti nchi yako. Kuna wakati ambapo kutofanya maamuzi ni kuchagua uovu kwa ukimya. Vijana wa Serbia walifika katika hatua kama hii – na hawakukimbia. Walinyanyuka, wakaungana na kupaza sauti: IMETOSHA! Leo hii, sisi Watanzania tumefika hapo. ACT-Wazalendo imechukua uamuzi wa kishujaa – kushiriki uchaguzi wa 2025. Si kwa sababu njia ni nyepesi, bali kwa sababu ni njia ya kweli. Ni kwa sababu tumechoka – tumechoshwa na mfumo wa kidhalimu, wa kifisadi, unaoua ndoto za kizazi kizima, unaotumia nguvu kudumaza demokrasia, na unaojenga nchi kwa wachache badala ya wengi. Huu si mwaliko kwa wanachama tu – ni mwito wa kitaifa. Ni wito kwa kila kijana mwenye ndoto, kwa kila mama mwenye uchungu wa watoto wake, kwa kila Mtanzania anayetamani kuona taifa lenye heshima kwa katiba, haki, na utu wa kila mmoja. Tumeamua kusimama. Tumeamua kupigania taifa lenye HAKI, USAWA, UTAWALA BORA na UTU. Hatupiganii ushindi wa chama – tunapigania maisha bora kwa wote. Tunapigania shule zenye ubora, hospitali zenye dawa, ajira kwa vijana, na uchumi unaoleta neema kwa kila kijiji na mtaa. Tanzania bila CCM inawezekana! Kama Serbia waliweza kuvunja ukimya, nasi tunaweza. Lazima tuamue, lazima tusimame, na lazima tuambiane kwa sauti kubwa: IMETOSHA! 2025 si tarehe ya kawaida – ni nafasi ya dhahabu ya kizazi chetu kuandika historia mpya. Historia ya matumaini. Historia ya haki. Historia ya kizazi kilichosema: “Tumetosheka na mateso – sasa ni zamu yetu kuamua!” Uamuzi ni sasa. Tuungane. Tusimame. Tuchague mabadiliko. @zittokabwe @ACTWazalendo Oktoba Piga Kura Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi OKTOBA Chagua @ACTWazalendo kwa ajili ya maendeleo ya kweli katika taifa letu
29
15
5
20
393
KC Mstaafu wa @ACTwazalendo @zittokabwe atoa onyo kali kwa mawakala wa udanganyifu na vyombo vya dola vinavyopanga kuvuruga uchaguzi. "Tunasema wazi Mwaka huu hakuna nafasi kwa mizengwe. Yeyote atakayejaribu kuchezea sanduku la kura – hata akiwa na sare au cheo – ataonja hasira ya wananchi walioamka!" Huu ni mwito wa ujasiri kwa Watanzania wote: Usimame, linda kura yako, linda sauti ya jamii yako. Wizi wa kura ni usaliti. Kunyamaza mbele ya dhulma ni kushiriki katika uovu. Ni sasa au kamwe. Hatutakubali tena kutawaliwa kwa mabavu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
40
14
24
268
Chama cha Mapinduzi kimeziba Masikio, hakisikii kilio cha Watanzania wanaotaka uchaguzi huru na haki. Lakini sisi ACT Wazalendo tumejipanga, tumejiandaa, na hatutishiki. Tunakwenda kwenye uchaguzi kwa ujasiri na matumaini ya kweli kwa ajili ya Mabadiliko na Maendeleo kwa taifa letu. Hatutakimbia. Hatutasusa. Tutapambana hadi Mwisho. Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
46
15
21
381
Hakuna kulala tena Tanzania, Muda wa hofu na unyonge umeisha! CCM mmeshindwa kwa sera, mmeshindwa kwa vitendo, na sasa mnajificha nyuma ya dola na mabavu — lakini mjue, safari hii hatutishiki! Afe golikipa, afe beki, lakini mbugi lazima ipigwe mpaka mwisho. Wananchi wameamka, wanawake wamesimama, vijana wamechoka Hatuwezi tena kuendelea kuchezewa kama kete za siasa za watu wachache. Kukataa kushiriki uchaguzi ni kuamua kukandamizwa. Kukaa kimya ni kuhalalisha dhuluma. Na kwa hakika, kizazi hiki hakijaletwa duniani kuwa mashahidi wa mateso bila kupigana. Siasa si ya watawala peke yao. Ni ya wananchi. Na safari hii tunasema wazi: Hatutishiki na dola, hatudanganyiki, hatununuliwi kwa kilo ya mchele. Tunataka haki, tunataka maendeleo ya kweli, tunataka uongozi unaosikiliza wananchi, siyo unaowaamrisha kama watumwa. Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa @JaneRithe Oktoba Linda kura Oktoba Ni wakati wa Mabadiliko Oktoba tuwape dola @ACTWazalendo kwa ajili ya maendeleo ya kweli katika taifa letu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
40
16
2
23
402
Mji uliowahi kung'ara kwa viwanda zaidi ya 119, kutoa maelfu ya ajira na kuwa kitovu cha ustawi wa wananchi leo umekuwa kivuli cha historia. Viwanda vingi vimekufa, vingine vimebinafsishwa, na hakuna uzalishaji wala faida kwa wananchi. Na hili si la Tanga peke yake – ni picha ya taifa zima. @MchinjitaIR akieleza kwa uchungu historia ya Tanga. Madhara ya uongozi usio na dira, sera zisizo na mipango ya muda mrefu, na chama tawala CCM ambacho kimeweka mbele maslahi ya wachache badala ya wengi. Athari zake? Uchumi umesimama, vijana wamekata tamaa, na majiji yaliyokuwa na ndoto sasa ni magofu yenye kimya na huzuni. Hatuna budi kusema IMETOSHA. Ni wakati wa kizazi kipya kusimama. Kulinda kura zetu. Na kuchagua uongozi unaojua maana ya viwanda, ajira, na uchumi wa wananchi. OKTOBA Chagua uongozi wenye maono. Chagua mabadiliko ya kweli. Chagua @ACTWazalendo kwa ajili ya maendeleo ya kweli katika taifa letu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
30
16
2
19
390
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru, bado Watanzania wanatembea kilomita nyingi kutafuta maji ya kunywa, na mara nyingine siyo hata safi wala salama. Mkulima analima mchana kutwa, lakini anauza mazao yake kwa bei ya hasara. Kijana anahitimu chuo kikuu na kubaki mtaani bila ajira, huku wale walioko madarakani wakigawiana nafasi kwa upendeleo na undugu. Hii siyo mipango ya Mungu – hii ni mipango ya Chama tawala CCM. Haya ni matokeo ya mfumo wa kifisadi, wa kibaguzi, na wa kisiasa usiojali utu wa Mtanzania. Chama Tawala kimegeuza serikali kuwa klabu ya maslahi binafsi – ambapo maendeleo ya watu hayapo kwenye ajenda. Wanaweka mbele ubinafsi, wanaweka mbele siasa za vitisho, na wanaendelea kuwekeza kwenye propaganda kuliko elimu na afya. Leo tunasema wazi: CCM imefilisika kifikra, kimaadili, na kimkakati. Kwa miaka mingi tumewaamini, tumewavumilia, lakini sasa hatuwezi tena kuendelea kushuhudia nchi ikizama huku tukinyamaza. Tunahitaji dira mpya, viongozi wapya, na maono mapya. Na jibu ni moja tu – ACT Wazalendo. @ACTWazalendo si chama cha maneno matupu, ni chama cha sera, maadili, na uzalendo wa kweli. Chama ambacho kinatambua kuwa mabadiliko hayawezi kuletwa na mfumo ule ule uliotufikisha hapa. Ni chama kinachotaka kuchukua madaraka si kwa ajili ya ulaji, bali kwa ajili ya utumishi wa watu. @ACTWazalendo tunapigania Tanzania ya haki, usawa, utu na maendeleo ya wote. Leo tunawaambia Watanzania: Acheni kuchagua mateso! Acheni kuchagua kudhalilishwa! Acheni kuchagua njaa! Chagueni mabadiliko ya kweli katika taifa letu. Chagueni ACT Wazalendo – chama pekee cha ukombozi wa kweli wa wananchi. Oktoba tuwape dola @ACTWazalendo kwa ajili ya maendeleo ya kweli katika taifa letu. @ACTwazalendo @Kizamayeye_ Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
31
14
3
19
455
Waziri Kivuli wa Fedha na Mwenyekiti wa @ACTWazalendo Ndugu @kizamayeye_ ametoa wito mzito kwa vijana na Watanzania wote: simameni imara, simameni kwa haki, simameni kwa mabadiliko ya kweli! Amesisitiza kwa msimamo thabiti kuwa hatuwezi kutegemea watu waliotufikisha hapa kutupeleka tunakotamani. Mabadiliko hayaletiwi na sura zile zile, fikra zile zile, au mfumo ule ule. Tunahitaji sera mpya, uongozi mpya, na maono mapya ya kujenga uchumi unaojali utu, unaoweka mbele ndoto za kila kijana na matumaini ya kila mwananchi. Oktoba ni mwezi wa maamuzi. Usikubali kudanganywa, usikubali kuibiwa tena. Kura yako ni silaha ya ukombozi Ndoto hazisusiwi. Haki haiguswi. Na @ACTWazalendo tumesimama na vijana. Tumesimama na wale wanaotaka maisha bora, wanaotaka kazi zenye heshima, na wanaoamini kuwa Tanzania Mppya inawezekana. Oktoba tuwape dola @ACTWazalendo kwa ajili ya Mabadiliko ya kweli katika taifa letu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
41
18
1
24
402