0657507815 (@joymboya) profile picture
Joined December 2013
Uhhhhhh skyway night club welcom ramadeee
Pombe c suluhisho la matatizo kunywa ogea lalia matatizo palepale.
Embu fkria ucku ucngeepo pangekuaje
Snitch wa kiume ni xawa na shogaa asiyelipwa
Duuuuh xku ya leo ipo kiviroba zaidi
Tusikariri maisha leo tulen wali na mlenda tusikilizie mzik wake
Oooh ramadeeee we mkareee
hey guys ni miaka 52 ya uhuru ya nchi ye2 2ungane pamoja kuulnda aman na uendo 2liyo achiwa na wazee we2 especialy mzee NYERERE... amina!!!!
Ujasiriamali nikitendo cha kujishughulisha vijana wenzangu sio mda wa kukaa vijiwen tufuge,tulime,biashara na mengine mengi