Pale attachment scenes zilikua crazy. Sasa kuna this 70 sth posh lady alikua admitted hapo Mama lucy. Shosh mweupe anabonga kizungu na alikua kichele mbaya sana. Sa nkiwa shift akaniuliza "Do you think I'm too old to get a tattoo?" mi nkamshow "unaweza chora shosh" nkaskia,.....
Death must be so beautiful,
Lying on the soft brown earth,
Wind blowing over your head,
Life in you sucking away,
Slowly slowly,
Till all is left is a shell...............
Hakuna venye utachukua msupa wa wenyewe na alikua na mtu na uexpect ati sasa atakua wako. Kama saiih kitu itakua imeshikanisha Pochettino na Manchester ni miezi tu🤷🏻♂️
Juzi tu nlikua talking stage na this 9/10 juu nliamua hii baridi hainipati na Caicedo tena. Huyu akajipa na akàniinvite kwake majioni a week ago hivi , sa mi nkaishia but nlikua unprepared juu alisema ntakàa a couple minutes nijikate. Convos hapa na pale, cuddles zikaanza ......
nimebuy katululu na nkaregister sim card mpya for m-pesa transactions only kama nyinyi and it feels so good 😁
Ukiishi Thika wale 10/10s wa pale Archives ata hawakuangi kitu. Kuna hii njia inakuanga na wasichana wa Thika technical, Mount Kenya University, Thika kmtc na Imperial college na wote wako street moja. Hapa kila mtu anakuanga type yako sa inabaki tu umesema kwelih Mungu fundi🙌🏻
Lakini naishi a very lonely life. Sina ata marafiki buana. Contact list iko na watu around 25,nkiwa nimecount adi family contacts mbili mbili. Nikiskia call najuanga definitely huyo ni Landlord ama mzazi. Tuko wengi ama niko peke yanguh??

