KAPTUM retweeted
Kila mtu akiomoka anasema ni God
Uncle wangu Ezekiel huwa anaomba hadi 12 usiku na ameshindwa kulipa mshwari loan ya 4k
Muspecify ni mungu mgani jameni
Leo morio wangu ameniitisha picha yangu ati anataka kutumia dem juu Dem amekataa kuamini anakuanga amechapa馃挃馃槴 kwani ni ukweli nimechapa馃槀馃槶
3
76













