living (@lbot7611) profile picture
Joined January 2025
Wacha Sasa nifocus na maisha yangu mpira nimewachia wazungu😭
18
105
1
210
3,026
Early kick off ni swara
5
27
57
892
"Let's just be friends." amejam juu nimepata mtu
3
15
27
295
Siku Moja nitakuja kucomplain kuhusu jam lakini Kwa Sasa Wacha ni complain kuhusu njaa 😂
19
94
190
2,687
living retweeted
Natumia mzae please call me yeye anareverse call💀
10
39
1
77
1,032
Hapo kwa great hits broke boys hatubahatishangi
6
31
49
720
Yani, kunyonga ndio mnaita,"Shaking hand with unemployed" aaar naisha 🤣
22
85
2
203
3,860
living retweeted
Nakwambia kitu najua na wewe unajifanya mjuaji, utakula ngumi naniii
16
30
1
53
1,128
Na wakamba mjifunze kumoan sasa "ni vau ni vau" ndio nini?
5
38
69
1,026