living⚖️ retweeted
Yupo binti amefua nguo yake ya Mtoko anaombea jua liwake ili atolewe dinner jioni,
Upande wa pili wa shiliingi yupo mwana anaombea mvua kubwa inyeshe siku nzima ili ahadi yake ya kumtoa dinner aliyemuahidi iyeyuke kwa sababu mfukoni sio pazuri.
living⚖️ retweeted
Mwanaume anayeona kila kitu lakini akajifanya hajui chochote, ni mtu wa hatari sana






















